Otile Brown – Hafanani Lyrics
Check out “Hafanani” lyrics by Otile Brown on Kelxfy. “Hafanani” is a soul-stirring anthem that celebrates the unwavering faithfulness of God in our lives. With its rich blend of uplifting melodies and heartfelt lyrics, this song serves as a powerful reminder of God’s constant presence and provision through every season of life.
Hafanani Lyrics
Usinione najiamini
Yote ni kisa namjua Mungu
Mungu anaishi ndani yangu
Ndo anipaye ujasiri
Usinione ninaringa
Yote ni kisa namjua Mungu
Mungu anaishi ndani yangu
Ndo ananisitiri mimi
Nimeshapigana vita vingi
Nimeshapoteza vingi
Ila imani yangu kwake
Iko imara
Wamekwisha niwekea vigingi
Mchawi nazi kavunja ka sitini
Ila nimeshindikana
Nimeshindikana
Tena siogopi hata kwa hatari, mmmh
Siogopi hata kwa ajali, uuh
Hali mradi uko na mi niko sambamba
Siogopi hata kwa hatari uuh
Maana Mungu wangu mi
Hafanani, yeye hafanani
Hafanani na binadamu
Hafanani yeye hafanani
Mungu wangu hafanani
Hafanani, yeye hafanani
Hafanani, hafanani yeye hafanani
Mungu wangu hafanani
Hafanani katu hafanani na binadamu
Mungu wangu hafanani nawe, Mungu wangu
Ooooh, hafanani
Mungu wangu hafanani na binadamu
Mungu wangu hafanani nao, na binadamu
Tena siogopi hata kwa hatari, mmmh
Siogopi hata kwa ajali, uuh
Hali mradi uko na mi, niko sambamba
Siogopi hata kwa hatari uuh
Maana Mungu wangu mi
Hafanani, yeye hafanani
Hafanani na binadamu
Hafanani yeye hafanani
Mungu wangu hafanani
Hafanani, yeye hafanani
Hafanani, hafanani yeye hafanani
Mungu wangu hafanani
Hafanani katu hafanani na binadamu
Mungu wangu hafanani nawe, Mungu wangu
Oooh, hafanani
Mungu wangu hafanani na binadamu
Mungu wangu hafanani nao, na binadamu