Kithy Kombe ft Otile Brown – Nakuhenza lyrics
Check out Kithy Kombe aka Unkoldaddy new song “Nakuhenza” lyrics featuring Otile Brown. Nakuhenza is a Giriama word which means I love you.
Nakuhenza lyrics
Ulivyokuwa na subira
Dhiki tulizopitia
Si majanga, mitihani mmm
Hata stress za wazazi,
wakikwambia sina kazi,
ndugu zako pingamizi no no
Wajaponiona chizi, sina hasira za mkizi
sotokosa usingizi no no
Naapa mimi na wewe ,niahidi wewe nami
ka’ mapacha twagandana love
stosaliti penzi letu
wanga waache na vidonge
Ona tunapendezana love
Jamani love
My only love
Nakuita love
Nakuhenza
Eeey baby make I love you better
Nimechoka na madanga now I just wanna settle
Wewe ndio hatima yangu alioniandikia mola kumpata mwengine sina uwezo
As long as I live this life as long am breathing love
I just wanna love you right
eeeei
Na na nashukuru Mungu kwa kunipa wewe my love
Zawadi bora uwe mzuri wa ajabu
Na kila kukicha
I keep falling deeper my love yeah
Oooooh baby
Nakuita love
oooh oooh
Oooh baby
Oooh baby
Siahidi tambarare
anasa tu za bwerere
Tule hata kwa parare love
Wakingoja tuparare
siku zote twala party
Ntajikaza ustarehe love
Jamani love
My only love
Nakuita love
Nakuhenza
Jamani love
my only love
Nakuita love
Nakuhenza
Dance dance for me
Dance dance for me
Check out more lyrics on Kelxfy