Otile Brown – Dear Ex Lyrics
Check out “Dear Ex” lyrics by Otile Brown on Kelxfy. “Dear Ex” is off Otile Brown’s new album, “Grace“.
Dear Ex Lyrics
Siku zinasonga, na uzee unaingia
Hali inazidi kuwa ngumu
Leo ni leo, heri jana
Na tamaa
Nahisi kama naikata
Maana subira heri
Nimeshindwa kuivuta
Kwa haya mapenzi
Nimetafuta kila chochoro
Wa kuwa nae
Ila ndo maana sijamuona
Sijihisi mwenye bahati
Maana kila nayekutana na yeye
Mie kabisa hatuendani
Kweli ujana maji ya moto
Nakumbuka kuna mademu
Walonipenda wakati ule
Ila niliwachezea
Pengine ndo karma iyo
Yalonikuta taswira nikivuta
Mmmmh, I remember you
I remember you
I remember you, I remember you
Dear Ex
Hii dunia, wazuri sio wengi
Ila kama ni uzuri wa sura na fedha
Zipo kupindukia
Ukipata anayekufaa
Unaenda na ulinzi wa benki
Usiendeshwe na hii dunia
Imejaa uongo na utapeli
Ukipata demu anayekupenda
Pendana naye
Mama ukipendwa tulia uolewe
Hii dunia ukiwa mshamba wa hela utaizunguka
Maana kila kitu huisha, pesa huisha
Urembo huisha, figa huisha
Utachobakiza ni moyo, unayemjua Mungu?
Asiyemjua Mungu haezi yajua mapenzi
Asiyejua mapenzi hayajui utu
Mapenzi ya kweli hayahongeki
Na furaha ya kweli haigharimu chochote
Kwa haya mapenzi
Nimetafuta kila chochoro
Wa kuwa nae
Ila ndo maana sijamuona
Sijihisi mwenye bahati
Maana kila nayekutana na yeye
Mie kabisa hatuendani
Kweli ujana maji ya moto
Nakumbuka kuna mademu
Walonipenda wakati ule
Ila niliwachezea
Pengine ndo karma iyo
Yalonikuta taswira nikivuta
Mmmmh, I remember you
I remember you
I remember you, I remember you
Dear Ex