Vijana BaruBaru – Ni Sawa Lyrics ft. Steph Kapela
Check out “Ni Sawa” lyrics by Vijana BaruBaru featuring Steph Kapela on Kelxfy.
Ni Sawa Lyrics
Yii lilili lii lii li li
Wuu lululu luu luu lu lu
Yii lilili lii lii li li
Wuu lululu luu luu lu lu
Yele yelele mama yele yelele mama
(Yii lilili lii lii li li)
Wolo wolo wololo mama
(Wuu lululu luu luu)
Kosa si kosa, makosa ni kurudia
Pole sana, kama umevumilia
Tulikosana, nikaomba ungenirudia
Ukanikana hadharani, mbele ya Dunia
Bet ilichomeka, zimamoto hawakusaidia
Ndege aviator, ikianguka hawakuniambia
Signs niliona ona ona, na sikufuatilia
Jirani alikuteka, mali yangu wakanikulia
Ni sawa, umeniacha nimeachika
Ni sawa, ningenyamaza yote Tisa
But for real, is that who you have picked over me
Umeniacha nimeachika ni sawa
Uko sure huyo ndo mwenye unataka? Eh? Uko sure? Ni sawa
Uko sure unaezasema with your chest? Eh? Uko sure?
But for real, is that who you have picked over me
Umeniacha nimeachika ni sawa
Ni sawa
(Yii lilili lii lii li li)
Ni sawa, Ni sawa
(Wuu lululu luu luu lu lu)
Naomba on your wedding day, stima zipotee
Upate fat fingers ring isitoshee
Your boyfriend akubuyie ka doggy
Ukithani ni ka cute kakuume
Mother-in-law na father-in-law ah
Wakuchukie wakikuona
Unathani ye ni catch kumbe ye ni sperm donor
Hiyo ni nini unabonya
My lord I wonder
But as long as your happy wena
We penda kenye unapenda
Hii imeemda
Ni sawa, umeniacha nimeachika
Ni sawa, ningenyamaza yote Tisa
But for real, is that who you have picked over me
Umeniacha nimeachika ni sawa
Uko sure huyo ndo mwenye unataka? Eh? Uko sure? Ni sawa
Uko sure unaezasema with your chest? Eh? Uko sure?
But for real, is that who you have picked over me
Umeniacha nimeachika ni sawa
Yele yele yelele mama yele yelele mama
(Yii lilili lii lii li li)
Wolo wolo wololo mama wolo wololo mama
(Wuu lululu luu luu)
Yele yele yelele mama yele yelele mama
(Yii lilili lii lii li li)
Wolo wolo wololo mama (Wuu lululu luu luu)