Shyboy Ghetto Taikun – Back to Back Lyrics

Check out “Back to Back” lyrics by Shyboy Ghetto Taikun on Kelxfy.
Back to Back Lyrics
Za kawarm tu, ghetto Taikun
Back to back, back to back
Back to back
Back to back ka AK kwa mgongo
Backbitter na bado unaniita bro
Back to back ka dogi inachunga mlango
Backstabber na nyoi kwa mkono
Una kipara na umesota we ni cheap monk
Pata mimba ju ulipenda sana chipo
Nina lines kwa kichwa zinakaa wrinkles
Navuta foreign maisha ni ka ya airport
Mask on mpaka hatuwezi bonga face to face
Tumia — kufikiria uone request
Niliacha mafi scene nikaflash tenje
Nishai pose kwa picha napigwa na masanse
Hardcore ni ka unapigwa nyongolo
Hadai form bado anaishi kwa mokoro
Ka Dando utachujwa ju ya usoro
Kaa home ka unajua huwezi kaza roho
Hardcore ni ka unapigwa nyongolo
Hadai form bado anaishi kwa mokoro
Ka Dando utachujwa ju ya usoro
Kaa home ka unajua huwezi kaza roho
Back to back ka AK kwa mgongo
Backbitter na bado unaniita bro
Back to back ka dogi inachunga mlango
Backstabber na nyoi kwa mkono
Back to back ka AK kwa mgongo
Backbitter na bado unaniita bro
Back to back ka dogi inachunga mlango
Backstabber na nyoi kwa mkono
Shit happens jipata ukikunya kwa ndoo
Kumbe ni chura nilidhani nilisuka kondoo
Ka ni mate mi hupaka nikihesabu doh
Wana copy paste ni ka wameshakuwa maclown
Fikisha message, dedi messenger bado ni razy
Mboka inapigwa wikendi watu wakiwa walevi
Ka si maziwa ni jegi, kama si thegi ni pedi
Kama si fegi ni hedi, nanyonya ndani ya shedi
Kama niko jaba we jua mi niko idling
Kucheza ludo na mabeshte tuko gambling
Pita choche utatolewa mamsoki
Meno ni ya silver ata sipigi mswaki
Back to back ka AK kwa mgongo
Backbitter na bado unaniita bro
Back to back ka dogi inachunga mlango
Backstabber na nyoi kwa mkono