Aslay – Mozzah Lyrics
Tanzanian artist Aslay new song “Mozzah” dedicated to his mother. Aslay has been one of the best artist in Tanzania and has been creating his new project after signing with Sony Music Africa.
Hmmm hmmm
Ohhhhh hmmmm
Mozzah Mozzah wangu mama, mmooo
Unaniliza sana, mmooo
Nakukumbuka saaana Mooo
Yananikuta mwenzako
Baada tu ya kifo chako
Aiii Mozzah wangu
Naheshimu malezi yako
Nakuombea mwenzako
Nawe niombee Mtoto wako
Aiii Mozzah wangu
Mi nateseka mwenzako
Weee eee, aah
Ulitesa kuhusu mimi
Ulilala na njaa nile mimi
Uligombana na majirani
Kisa tu hutaki nipigwe mimi wee
Najua unanisikia Ila kunijibu ndiyo huwezi
Mwanao sifuri sio Mia
Naomba niombee kwa mwenyezi
Aaaah Mozzah wangu!
Hmmmmm!
Sasa hivi kibaba nina watoto wananiita baba
Tena si haba kuna mmoja jina kalibeba
Anaitwa Mozzah
Wajina waako ooh, Moo moo moo Mozzah
Mmoo moo moo, I miss you my mother
I miss you my mother
Hmmmm! Elelelelileee
Mama! Mhhhmhhhh
Ulikuja Kama mama kumbe malaika
Fungua mbawa zako mama uweze kuruka
Umenifundisha mema mengi yasohesabika
Mama, Eeeeh hiiiii
Na nimechoma shuka ulizotandika
Maana nikiziona machozi yatiririka
Na nimepanda mti pale ulipotapika
Mamaaa, mmhhhh mmh
Duniani ulipendwa sana
Hadi walililia walokutukana
Kwenye ndoto nakuona Mama
Uko peponi unakula tunda jema
Mmm mamaaaaah, I miss you mama
Ooh mama eeh eeh mama eeh, aaah
Machozi yagonga hodi hmmm
Ila nikilia haurudi, hmmm
Najiweka kwenye mood
Mama sijachoka nakuombea kwa God, mhhhh
Aah I’m so sad
I miss mama japo haurudi
Iiiiii yeeeeh Yaahyaaah
Mmoo moo moo Mozzah, mmoo moo moo
I miss you my mother
I miss you my mother