Skillo ft. Sewersydaa (Wakadinali) – Push to Start Lyrics
Check out “Push to Start” lyrics by Skillo featuring Sewersydaa (Wakadinali) on Kelxfy. “Push to Start” is produced by Kenyan producer HR The Messenger.
Push To Start Lyrics
(HR Pump hio track bana)
Nilistart kupush nibuy push to start
Mtaa huniita guz, mi napush tu car
Pia napush maverse zinahook matrack
Pia napush maguns zinashoot ma ah ah
Nilistart kupush nibuy push to start
Mtaa huniita guz, mi napush tu car
Pia napush maverse zinahook matrack
Pia napush maguns zinashoot ma ah ah
Gai Gai gai walai
Fagilia wote no more mr nice guy
Mi sidai haga i-labda tu i-smile
Na sidai hasara, sikudai ka huzai
Ju mi si Abraham, si ati mi ni mzae
Tulikuwa tunacode na Linux
Na sai hata hai-apply
Na wale walistudy media, kuwa ka Linus Kaikai
Anyway bora uhai, mbona u-lie?
Bora udai, na we ni mrembo sana
Jua uwongo haikukai
Partner in crime
We ni Bonnie mi ni Clyde
Mwanaume hii time, ukiwa horny unadie
Bangla tunaiseek, tunakesha na inahide
Kitu kubwa ni kwa mind
Hata na gym hautuwai
Tuko hunger tukistrike
Hatuwezi manga na opressor
Naskia alikabaka na pia alimtesa
Ka huezani enda, sucummb to hii pressure
Si tunadai shimo hatudai hio pesa
The new time, unaeza ita gen era
Constitution no more iko kwa geneza
Nilistart kupush nibuy push to start
Mtaa huniita guz, mi napush tu car
Pia napush maverse zinahook matrack
Pia napush maguns zinashoot ma ah ah
Nilistart kupush nibuy push to start
Mtaa huniita guz, mi napush tu car
Pia napush maverse zinahook matrack
Pia napush maguns zinashoot ma pah pah
Nikishalamba lips ka ule msee wa kaunda
Lugha inabamba, beast anasahau ni fraudster
Niko na Kiswahili nyingi, lahaula
Ukibuy hio gas usisahau sikubuy —
Usinitumie vibaya, nitumie pesa
Willing buyer willing seller
Na mi sio mbaya mi ni trader
Wasee hunigwaya wao hunipenda
Trader, napush counterfeit over the counter
Hauwezi jua wanauza nini, kwa mngola ni bouncer
Sitaki za uwaganis, unabeep na hauna biz
Na – hauna bibi
Si fair, ni fee, si layer ni njee
Sichelewangi wee hadi chee aje
Na silalangi nje, slang safi de
Naplan hadi sheng
Nichekeshee, nichekeshee
Nilistart kupush nibuy push to start
Mtaa huniita guz, mi napush tu car
Pia napush maverse zinahook matrack
Pia napush maguns zinashoot ma ah ah
Nilistart kupush nibuy push to start
Mtaa huniita guz, mi napush tu car
Pia napush maverse zinahook matrack
Pia napush maguns zinashoot ma ah ah