Wakadinali ft. Floffy – Stockholm Syndrome Lyrics

Check out “Stockholm Syndrome” lyrics by Wakadinali ft. Floffy on Kelxfy.
Stockholm Syndrome Lyrics
Stockholm Syndrome
(Aaah aaah…)
Stockholm Syndrome sister of fame
Hands Down! Hio ni kitu iko
Walijifanya wamejam
Watu wanahate but sai wanaipenda
Jam, watu wanahate but sai wanaipenda
Walijifanya wamejam
Watu wanahate but sai wanaipenda
Stockholm Syndrome sister of fame
Hands Down! Hio ni kitu iko
Walijifanya wamejam
Watu wanahate but sai wanaipenda
Jam, watu wanahate but sai wanaipenda
Walijifanya wamejam
Watu wanahate but sai wanaipenda
Stockholm Syndrome sister of fame
Hands Down! Hio ni kitu iko
Walijifanya wamejam
Watu wanahate but sai wanaipenda
Jam, watu wanahate but sai wanaipenda
Walijifanya wamejam
Watu wanahate but sai wanaipenda
Unaletaje beef Ramadhan
Unabonga na prince ni haram
Watu wakisee wanang’am
Watu wa mjini wanaburn
Nikipull up, done
Siko solo, gang
Watu wa area wanataka kulearn
Ha! Ha! Ha! you got me laughing
Ha! Ha! Ha! last time nilikuwa lucky
Flash mali yote kwa choo, nilibambiwa nothing
Flash, flash mali yote kwa choo, nilibambiwa nothing
Kazi yangu ni kuwa shwari
Yako ni kuuliza maswali
El cookies, huko Mowlem
Na Rose za kishaulin
Wanashangaa surely
Kimbiting kushpeng kwa swara
Heri hater ajione mjanja
I’m a cop killer area-
Hadi line ya VCT mi huruka namba
Manjaro ni ngori, since man I was younger
Nilishika ju ya mambo zinaendelea
Nikizied — nitapata mwili ingine
Nililipia kutulia nikajipata professor
Nikapiga dhafu, we ni msafi lakini
— we ni uchafu
Stockholm Syndrome sister of fame
Hands Down! Hio ni kitu iko
Walijifanya wamejam
Watu wanahate but sai wanaipenda
Jam, watu wanahate but sai wanaipenda
Walijifanya wamejam
Watu wanahate but sai wanaipenda
Ssssh…
Toka offroad, of course mwagia watu vumbi
Ona ma dotcom, matopdawg na ni raia ya juzi
Jah is for us all, Jah si mchoosy
Ata ka unaoga na ndoo, ama umeamua jacuzzi
Family kubwa sikujua mi huwa nakatia mcuzin
One of the nine daughters kwa family ya Mumbi
Buda alinishow nikienda kumuona joh nimvalie suti
Na sirush kubonga sana, kama joh sina tukis
Corrode Iron sheet, nimerust bado I’m still
Best driller hivi si nitii, Vukvuk after VCT
We atleast we ni mzimbiting, fukuru ata bila CD
Hio nayo ni vanity na akikutoka lazma umiss
For real!
Wasupa wangu siku hizi disaster
Nikikosa ganji siku hizi wataniacha
Brathe usiwe mjinga
Ukiwa na pesa hauoni golddiggers
Hatubongi bora we ulipe
We all want unfuckable bitches
Nilimfanyia vitu niliregret
Nitajiuza nikiwapatia details
Nimekosa ujanja
Ju sikuwangi fiti na siasa
Vile nachoma ganja
Nikipita wananiita Salasya
Nikicheki mabang’a
Bado mi hutoka syaka
Mrembo wangu ako na bundle
Nusu mita ndani ya handbag