Maandy – Naskia Fiti Lyrics
Check out “Naskia Fiti” lyrics by Kenyan artist Maandy on Kelxfy. “Naskia Fiti” is a sheng word that means I feel good.
Naskia Fiti Lyrics
Kabaya
(Eyoo Metro suka doba)
Naskia kuseti, naskia kubleki
Naskia kuzitoka dogo si keti
Naskia kumedi, naskia amazing
Naskia tu fiti, naskia tu easy
Naskia kuseti, naskia kubleki
Naskia kuzitoka dogo si keti
Naskia kumedi, naskia amazing
Naskia tu fiti, naskia tu easy
Aah aah aaah, naskia tu fiti
Aah aah aah, naskia tu fiti
Aah aah aaah, naskia tu fiti
Aah aah aah, naskia tu fiti
Oya chaji songa na mimi
Zero shapre manze jasho ni ya nini?
Aha aha moshi ni ya nini?
Maforeign, organic mavarious na kidri
Aaa! Niko na pake
Na zikishika usiadisie na mafeelings
Unaletanga ngori na vibration ni ya healing
Rusha mabega nitakufunza hadi lini?
Kama zimeshika mi nakam (Mi nakam)
Nalenga huyu chali akajam (Amejam)
Mi nakunywa gin staki rum (staki rum)
Nitagawa juu ni yangu (Unang’am?)
Naskia kuseti, naskia kubleki
Naskia kuzitoka dogo si keti
Naskia kumedi, naskia amazing
Naskia tu fiti, naskia tu easy
Naskia kuseti, naskia kubleki
Naskia kuzitoka dogo si keti
Naskia kumedi, naskia amazing
Naskia tu fiti, naskia tu easy
Aah aah aaah, naskia tu fiti
Aah aah, naskia tu fiti
Aah aaah, naskia tu fiti
Aah aah
Ushaiamka na hutaki mambo mingi
Ushaiamka ukapiga shots mbili
Puff puff alafu munchez hivi
Tafta mbogi manze leo ni maraundi
Staki stress, aah ah staki mapresha
Wapi Mary, Njeri leo nataka nje kutesa
Mbuda flani Thika Road
Don Perion anasema hatabuy maVodka
Kama zimeshika mi nakam (Mi nakam)
Nalenga huyu chali akajam (Amejam)
Mi nakunya gin staki rum (Staki rum)
Nitagawa juu ni yangu unang’am? (Unang’am?)
Naskia kuseti, naskia kubleki
Naskia kuzitoka dogo si keti
Naskia kumedi, naskia amazing
Naskia tu fiti, naskia tu easy
Naskia kuseti, naskia kubleki
Naskia kuzitoka dogo si keti
Naskia kumedi, naskia amazing
Naskia tu fiti, naskia tu easy
Aah aah aaah, naskia tu fiti
Aah aah, naskia tu fiti
Aah aaah, naskia tu fiti
Aah aah
Naskia tu fiti, naskia tu fiti
Naskia tu fiti, naskia tu easy
Naskia tu fiti, naskia tu easy