Breeder LW – Nilinky Lyrics
Check out “Nilinky” lyrics by Breeder LW on Kelxfy. “Nilinky” is a sheng word that means link me up. In the song Breeder LW talks of how he is busy at work grinding.
Nilinky Lyrics
Nilinky, ka uko na uradi ya ganji
Nilinky, kam tupange mikakati
Nilinky, tupige mahesabu hisabati
Nilinky eeh (nilinky) eeh, nilinky
Nilinky, ka uko na mali na ni safi
Nilinky, usivute tenje utaniwai
Nilinky, we si unitrace niko ma area
Nilinky eeh, nilinky, eeh (nilinky)
Nilinky, ka uko na uradi ya ganji
Nilinky, kam tupange mikakati
Nilinky, tupige mahesabu hisabati
Nilinky eeh (nilinky) eeh, nilinky
Buda jo nilinky
Na usikae sana hutanipata
Tuboronje kuhusu ganji
Coz nothing else matters
Nitakuonyesha nani mjanja nani smarta
Nani bossi nani mziza nani others
Yap yap mouthing hatunanga
Usicheze na biz hatuwezi elewana
Bei ni ngapi we sema hatuwezi kosana
Nina mriz na kichele ni ya maana
Nilinki na usikuje na mtu sijui
Siwezi sema inakuwa ka haikuwi
Hizo ni tabia za mafala hawajitambui
Kuna shugli ya magiz na zingine za asubuhi
Rengwa kabla jogoo ata iwike
Mawikendi siko free labda weekday
Baby girl hukuwanga biz hadi midday
Nilinki after janta ju leo ni D-Day
Nilinky, ka uko na uradi ya ganji
Nilinky, kam tupange mikakati
Nilinky, tupige mahesabu hisabati
Nilinky eeh (nilinky) eeh, nilinky
Nilinky, ka uko na mali na ni safi
Nilinky, usivute tenje utaniwai
Nilinky, we si unitrace niko ma area
Nilinky eeh, nilinky, eeh (nilinky)
Kuna vitu siwezi banja kwa mkia (Nilinky)
Ukiwa izim ma-area we pitia (Nilinky)
Ama zabe gani mi naeza muok (Nilinky)
Kuna ma-reignfo, kuna mandom (Nilinky)
Nikupeleke na rada ya hii mraa (Nilinky)
Inaeza jipa inaeza jipa (Nilinky)
Ama unadai kubaki njaa? (Nilinky)
Nganji mi nadai haiwezi isha (Nilinky)
Na pilka za jiji na za ganji
Noma kunipata na bibi niko hunting
Highway nafinya 150 ndae gani
Flani ililetwa na mziki na hii fun
Biz biz biz biz biz
Mboka ma-area mboka overseas
Currency ni gani ma Euro USD
Crypto forex zote pia ni biz
Nilinky, ka uko na uradi ya ganji
Nilinky, kam tupange mikakati
Nilinky, tupige mahesabu hisabati
Nilinky eeh (nilinky) eeh, nilinky
Nilinky, ka uko na mali na ni safi
Nilinky, usivute tenje utaniwai
Nilinky, we si unitrace niko ma area
Nilinky eeh, nilinky, eeh (Nilinky)