Bahati – Huyu Lyrics
Check out “Huyu” lyrics by Bahati. “Huyu” is a Swahili word that refers to “a person”. In the song, Bahati sings about how he has fallen in love with his favorite person.
Huyu Lyrics
Mesesi aah sielewi
(EMB records)
(Ni bahati tena)
Anayefanya sitoki
Nyumbani nimekaa
Anaye fanya sishiki
Na simu nimenyonga
Nnimelewa mapenzi
Mwenzenu siendi bar
Anaye fanya nakam
Utamu siezi kaa
Akinishika nahema
Akinichumu nalewa
Akinipa nameza nimedata
Akinishika nahema ninalewa
Siezi kata sina hata
Wanauliza wanauliza nani?
Huyu enhe, Huyu (mwoneni)
Huyu (Chaguo langu, roho yangu)
Huyu aah, huyu (Mmh hmm)
Huyu (Chaguo langu, nawaonyesha mwoneni)
Shika moyo wangu, na akili zangu
Na mawazo yangu chukua
Wewe ndio wangu, na mwandani wangu
Basi siri zangu chukua
Ona kama mtoto unanilea
Ona sura yako nakuoa
Unavyoninywesha nimelewa
Usiongeze utamu utaniua
Wanauliza wanauliza nani?
Huyu enhe, Huyu (mwoneni)
Huyu (Chaguo langu, roho yangu)
Huyu aah, huyu (Mmh hmm)
Huyu (Chaguo langu, nawaonyesha mwoneni)
Na kama mtoto unanilea
Ona sura yako nakuoa
Unavyoninywesha nimelewa
Usiongeze utamu utaniua
Wanauliza wanauliza nani?
Huyu enhe, Huyu (mwoneni)
Huyu (Chaguo langu, roho yangu)
Huyu aah, huyu (Mmh hmm)
Huyu (Chaguo langu, nawaonyesha mwoneni)
Huyu enhe, Huyu (mwoneni)
Huyu (Chaguo langu, roho yangu)
Huyu aah, huyu (Mmh hmm)
Huyu (Chaguo langu, nawaonyesha mwoneni)
Ukinishika nahema
Ukinichumu nalewa
Akinipa nameza
Nimedata