Baba Levo ft Diamond Platnumz – Amen Lyrics

Read “Amen” lyrics by Baba Levo featuring Diamond Platnumz on Kelxfy. “Amen” is a thanksgiving prayer and praise song.
Amen Lyrics
Nainuaa mikono yangu juu
Mikono juu
Amen (Amen), Amen (Amen)
Amen (Amen), Amen (Amen)
Amen (Amen), Amen (Amen)
Baba yetu wambinguni (Amen)
Jina lako litukuzwe (Amen)
Utakalo lifanyike (Amen)
Dunian kama mbinguni (Amen)
Utupe leo ridhiki zetu (Amen)
Utusamehe makosa yetu (Amen)
Kama tunavyowasamehe waliotukosea
Eti kama tunavyowasamehe waliotukosea
Najiuliza why
Hawataki tuenjoy si tufurahi
Wakiona tunajidai
Wananuna kama vile wanatudai
Utupe majumba ya thamani (eeh baba)
Magari nane nane ndani (eeh baba)
Wake wazuri wakisom (eeh baba)
Ila wasituchiti jamani (eeh baba)
Nainua mikono yangu juu
Mikono juu
Nainua mikono yangu juu
Mikono juu
Eeh baba
Kekekekekeke… (Eeeh baba)
Kekekekekeke… (Eeeh baba)
Namuombea Latifa lati titi
Na kesho nikifa awe fititi
Namajita rafikiki
Wanangu wafaida navikiki
Vibunda vingi mfukoni
Tukifa twende peponi
Wanafiki wote motoni
Wakaisome namba
Bariki Mola
Tupate pesa magari tele Amen
Tuweze komesha hawa ngedere
Wanaiomba mvua kunyesha
Wambie sie bado tunakesha
Nawanangu saka mapesa
Na mwaka huu tutawakomesha
Wanaiomba mvua kunyesha
Wambie sie bado tunakesha
Watuombee fitina kuteswa
Sie tunaiomba mipesa
Baba tupe mipe jamani pe
Ai mipesa hiyo ona mipe
Tumwagie mipe jamani pe
Oya mipesa hiyo ona mipe
Mi ni mtu mzima nina akili
Na ndio mana nimetoka
Mambo yakunletea ushauri
Kwenye bata unanifanyia makosa
Mi ni mtu mzima nina akili
Na ndio mana nimetoka
Mambo yakunletea ushauri
Kwenye penzi una una
Nainua mikono yangu juu
Mikono juu
Nainua mikono yangu juu
Mikono juu
Eeh baba
Kekekekekeke… (Eeeh baba)
Kekekekekeke… (Eeeh baba)