Bahati “Salome” Lyrics & Meaning
Check out “Salome” lyrics by Bahati. “Salome” is a song that talks about the struggles of love, marriage, and relationships. “Salome” audio is produced under EMB Records by “Sean” while the video is directed and edited by Dir Slim Mapoz.
Salome Lyrics
(EMB Records)
Hello, hello hello
Pokea simu Salome
Night and day mi nakungoja
Sijamuona mwingine, Salome mmh
Night and day mi nakungoja
Sina mwingine, Salome ahh
Mi ndo yule napata habari umempata mwingine
Unanikumbuka Salome
Mi ndo yule, umaskini ulonipata ndo chanzo
Nawe ukaenda, wangu Salome mmh
Kana nduke twake musyi
Ekaundia nyie ningumosa
Umasikini sio laana nihurumie
Watoto wanangoja urudi pengine
Daily kulalama hawana mwingine
Salome, Salome, Salome
Ewe nio owange sendi nokundi ta
Salome, Salome, Salome
We ndio wangu sina mwingine
Salome, Salome….
Salome, Salome eh eh eh
Pokea simu mama ukweli nikuambia
Nina mawazo ma’ naona kitanzi nijitie
Si uniponye mama, mateso yangu
Niko peke yangu rudi mwenzangu
Wanakumiss kwangu, marafiki zangu
Producer Sean, Kioko wanakuulizia
Watoto wanangoja urudi pengine
Daily kulalama hawana mwingine
Salome, Salome, Salome
Ewe nio owange sendi nokundi ta
Salome, Salome, Salome
We ndio wangu sina mwingine
Salome, Salome….
Salome, Salome eh eh eh
Wazazi washatubariki (Salome)
Watoto tunao nyumbani (Salome)
Ooh vumilia naomba niamini (Salome)
Na ipo siku nitaitwa tajiri (Salome)
Niamini Salome