Limbofest ft Alma Mutheu – Sikuachi Lyrics
Kenyan artist Limbofest has released a new song titled “Sikuachi” featuring Alma Mutheu. Check out “Sikuachi” lyrics by Limbofest. “Sikuachi” is a Swahili word that means I won’t leave you. The song talks about falling in love with someone you love and assuring them that you won’t leave.
Sikuachi Lyrics
I wanna take you out
Inna mah lunch
Just say your favorite places
Set the date and the time yeah
My baby she’s so fine fine fine
I want you to meet my mama
Will you be my wife wife wife?
Mother to my kids, you never know
I wanna go far with you
Love love love love love
I wanna grow old with you
Love love love love love
My sweetie, mtoto, my lover…
My sweetie, mtoto, my lover…
Eeh nampenda
Kikweli mimi nampenda
Sikuachi! Simuachi
Sikuachi! Simuachi
Kwanza kanikosha roho (iyee aah iyee ahhh)
Mahaba kayajaza ndoo (iyee aah iyee ahhh)
Mapenzi yamenikata kati maini (maini)
Na kwenye simu nimekusave mine (mine)
Na vile umenishika tighty
Aah iyee aah
Nimeganda, nimezama
Kwako niko hoii..
Aah iyee aah
One! I need you
Two! I miss you
Three! I love you
Wherever you go baby I go go
Sikuachi! Simuachi
Sikuachi! Simuachi
Jiko bila jivu ni moto
Sikujua niko juu wala chini kushoto
Kama vila kiwi na makeup
Zinapaka zote viatu same na hii ha ooh
Sasa hivi nacheka
Maumivu yamekwisha
Kila siku kukesha mami yeah
We ndio my boo boo boo
Sitaki story mob baby show me boo
Yeah! Yeah!
Mara eeh mara ooh, mara nataka banana
Mara usinipe, nipe nataka kuifanya
Natetema nikihema, naover-do kuchecheka
Niende wapi sasa hivi wa moyo amenishika
Sikuachi! Simuachi
Sikuachi! Simuachi
Limbofest Biography
Limbofest is a Kenyan boy band made up of three members namely; Malen, Amek, and Buznoel. The band is managed by Mandela Manwel.