Bridget Blue ft. Toxic Lyrikali – Mapenzi Lyrics
Check out “Mapenzi” by Bridget Blue featuring Toxic Lyrikali on Kelxfy. “Mapenzi” is a feel-good song that talks about love, betrayal, and deep connection.
Mapenzi Lyrics
I’ll do anything
For my phone ring again
Can I ignite up my speed
And I’ll let it fade away
Nilikuacha ukiota
Now you are really gone
I know you have moved on
Coz I pushed you away
I’ll be great
And I let you slip away
Now you so far away
And I once you walked away from me
All we pray
All the memories we had
I never meant to make you sad
You were the best I ever had
Come back
Nitafute ukipata missed call mpenzi
Najua nilikuwa rezy
Nimekuhata lately
Ndo maana ma late night call sibebi
Ka ni promise inakuwanga deni
Kumbuka msupa nikikushow mi siendi
Kukakuja wengi nikaanza ushenzi
Bado nakuenzi kutoka zile enzi
Nimeshindwa ku-move on
Haisongi damu ni ka imeclot
Bado ile tisho inanuka your cologne
Nakutaka aitaki siezi move on
Mapenzi haya ni yale ya jana
Tumeyabeba tangu jana
And I dont even remember
January to December
Mapenzi haya ni yale ya…
Mapenzi ya.. Mapenzi
Mapenzi ya… Mapenzi
Mapenzi yaa..
Nilikuwa nakatsika ukinidungia dungia
Sa hii hakuna adi messo moja inaingia
Five months inakaa ka 5 years
Ukinirudia makosa mi sitarudia msupa
Nakumedi hauna idea
Sauti yako natamani tena kuiskia
Simu inaringiz unaniringia
Mnisa nakumedia
I be gone more and more
More and more
Even where my heart is soul
My heart and soul
But you keep knocking at my door
I let you live just like before
(Like before)
Shey you dey do me corny
And I just keep on falling
My head keep on turning
My heart beats ironic
Say you be for real I’m yearning
I’m really really lonely
I decide, I don’t lie
I’m loosing my mind
Mapenzi haya ni yale ya jana
Tumeyabeba tangu jana
And I don’t even remember
January to December
Mapenzi haya ni yale ya…
Mapenzi ya.. Mapenzi
Mapenzi ya… Mapenzi
Mapenzi yaa.
Also read: Toxic Lyrikali Bud Flowers Lyrics
