Otile Brown – Loving You Lyrics ft. Femi One

Check out “Loving You” lyrics by Otile Brown featuring Femi One on Kelxfy. “Loving You” is off Otile Brown’s new album, “Grace“.
Loving You Lyrics
Ananikariri
Amenisoma ka kitabu cha ajiti
Ananielewa, uzuri wake wa ajabu
Kwake nasadiki
Kanidhibiti siwezi ambilika kitu
Siambiliki
Tena nina mipango
Ya kusafiri Ng’ambo
Kwenye chumba cha upambo
Nikuchumbie
Tatizo uzuri wako
Ndo udhaifu wangu sijiwezi
Usije kawa kigezo cha matatizo
Coz if it’s loving you
No one can do it right
You know that I’m down
If loving is wrong
I don’t wanna be right
Coz if it’s loving you
No one can do it right
You know that I’m down
If loving is wrong
I don’t wanna be right
Hio sio lust, ni true love
Inafeel kama my first, with you love
Wewe ndo my new flame, my new love
Kama siko kando yako nina kiu love
Nina taki yako, and I’m happy aki
Naskia sauti yako, niambie uko wapi
Ndio nikuje hapo nikue ma lavi
Ata nashukuru Mungu nimetry do something
Hapa si picha me and you na wajukuu
Leo utakula nini I can cook for you
Kwa Tiktok for you, like Sue na boo
Sleepless next to you na nalike na view
Kitu mali safi mpaka natoka soko
Vile we hunitenda mi nafeel ka mtoto
Sema unataka wangapi, mi nitakupa Pronto
Sema unataka saa ngapi, mimi nitashika phonecall
Tena nina mipango
Ya kusafiri Ng’ambo
Kwenye chumba cha upambo
Nikuchumbie
Tatizo uzuri wako
Ndo udhaifu wangu sijiwezi
Usije kawa kigezo cha matatizo
Coz if it’s loving you
No one can do it right
You know that I’m down
If loving is wrong
I don’t wanna be right
Coz if it’s loving you
No one can do it right
You know that I’m down
If loving is wrong
I don’t wanna be right