Devrix Da Fubu – Ntaomoka Lyrics
Check out the “Ntaomoka” lyrics by Devrix Da Fubu on Kelxfy. “Ntaomoka” is an inspirational song that gives hope to the audience, encouraging them not to give up on their dreams.
Ntaomoka Lyrics
Nawaza niitishe collabo
Nifanye ngoma na Bien
Savara aimbe verse one
Verse two nimpatie Khaligraph
Nadia na Arrowbwoy collabo
KRG akivutiwa anipe rent
Niunge body nianze kiki
Nitoe wimbo nitukane ndo nitrend
Ama nimtafute Obinna
Niseme Otile Brown ndugu rangi itanipoza
Au nibadili jina niitwe Willy Paul
Kwa Bahati sina kosa
Nikitoka leo nitapandisha Marijuana
Nipumzike hadi nibuy shamba
Nikiomoka leo nitasapoti watu flani
Ingawa kidogo nikijipanga
Nikitoka leo nitajengea wazazi wangu
Shukrani zangu kwa kunipanda
Nikiomoka leo nitajatea mziki
Kwani kuimba ni kazi nitakaza kamba
Nitatoka wee, mi nataka kuomoka
Nitaomoka je? Nishabikiwe kila pembe
Nitatoka wee, mi nataka kuomoka
Nitaomoka je? Na sijui nitatokaje
Nitoke Zari, niandike ngoma yangu kali
Mashabiki wanikubali
Nifoke nifike mbali
Mziki wa Kenya uvuke border
Na beat la chizzi linagonga
Kiburi ya star usiniteke
Nikasahau mbali kule nimetoka
Mungu nijaze moyo wa kipekee
Unaeza ukainuka ukaanguka
Ka unaimba imba, kesho inatimba
Unaweza kuwa Konde, Alikiba au Simba
Wapo wanaopinga haujui kuimba
Naifanya kuro ju riziki haiwezi kingwa
Nishalala njaa, life ni harder
Nishafanya mjengo ju nile sapa
Nishatoaga mbaya ju ya hii talanta
Nishawachwa na mpenzi kisa sina
Eeeh, nitatoka wee
Mi nataka kuomoka, nitaomoka jee?
Nishabikiwe kila pembe
Nitatoka wee,
Mi nataka kuomoka, nitaomoka jee?
Na sijui nitatoka je!
