Willy Paul – Tulia (Bebi Shak) Lyrics
Read “Tulia (Bebi Shak)” lyrics by Willy Paul on Kelxfy.
Tulia (Bebi Shak) Lyrics
Pozzee!
(Saldido)
Unanifanya najihisi mtoto
Bebi shak doo doo doo
Bebi shak doo doo
Anything you want I go do do
Baby I go do do
Baby I go do do
Bila we silali
Hata kwa piriton
Moyo wangu chali
Nibebe nibebe
Na nisipokuona baby
Sipati amani
Nisipokuona sweety
Usingizi sipati
Kwako nimeshatulia, lia tulia
Ukiniguza kidogo nalala, lala lala
Ukiniwacha baby nitalia, lia, lia
So baby nishakupenda sana, sana, sana
Na nikucheat, nitakuwa mnafiki
Hio tabia ya ibilisi
Nitakuwa napretend
Haina maana niende kwingine
Wakati wewe wanitosheleza
Haina maana niende kwingine
Wakati wewe unanibembeleza
Jameni umeniweza mpenzi
Kila mara nakuwaza
Jamani umeniroga mpenzi we
Mia kwa mia nakupenda
Unanifanya najihisi mtoto
Bebi shak doo doo doo
Bebi shak doo doo
Anything you want I go do do
Baby I go do do
Baby I go do do
Bila we silali
Hata kwa piriton
Moyo wangu chali
Nibebe nibebe
Kwako nimeshatulia, lia tulia
Ukiniguza kidogo nalala, lala lala
Ukiniwacha baby nitalia, lia, lia
So baby nishakupenda sana, sana, sana
One Comment