Octopizzo – Kadi Lyrics

Check out “Kadi” lyrics by Octopizzo on Kelxfy.
Kadi Lyrics
Chulo! Pizzo de
Kadi bana, unapingana!
Toka namba nane otwech kwa kibanda
Kwa kitanda niliwaza
Hii ghetto ita toka mimi lini bana
Wee kijana mi, kinara
Kenya nipate na fourth Wamalwa wa kijana
Hii pikana rada ni safi sana
Hizi piranha bado tutadish unabishana?
Big fish
Fala bado anabonga english
Ticklish kuna rapper alidedi after deathwish
Big tings popping
Niko mboka biz zote mi uzichapa LinkedIn
Hommy! Ka ni soccer trophy zote bana ni za Livepool only
Real Gs calling
Nikishika simu rada inakuaga ni kill bill
Balling, ukichana a-a, tawi tepa
Kajasho kanataka kunindoka siezi tema
Kadi bana, unapingana
Unashuffle unashuffle
Unashaffle unashuffle, nashindaga
Kadi bana, unapingana
Unashuffle unashuffle unashaffle
Unashaffe nashindaga, unapingana
Unashuffle unashuffle unashaffle unashuffle
Nashindaga
Kadi bana, unapingana
Unashuffle unashuffle unashaffle unashaffle
Niko kadi tena
Yolo daily tulicuff
Suti zote na ma cufflin
Shuffling niko Dublin
Kula ma cheese burger bila napkin
Rada ma boss moves siko hustling
Shada na concours zangu classics
Classics nimekua on own lane spendi traffic
Tragic usicheki hizi picha zote zote graphic
Plastic nikiasha hizi moto wanapanic
Fasting zetu kula vako daily maskani
Nasty henny unifanya oludara kiplani
Skiza barz keep learning
Kip kip kip running
Spirit ya Kiptum na ma nikey
Shingo ni Reykjavik pizzo viking
Alileta crown zile za Pizzo De Va hii King
Nicely niko Masting Don
Kadi bana, unapingana
Unashuffle unashuffle unashaffle
Unashaffe nashindaga, unapingana
Unashuffle unashuffle unashaffle unashuffle
Nashindaga
Kadi bana, unapingana
Unashuffle unashuffle unashaffle unashaffle
Niko kadi tena
8town Baby
Welcome to the good life manze
Catch a a vibe manigga
8town!