Skillo ft. Domani Munga – Njoki lyrics
Check out “Njoki” lyrics by Skillo featuring Wakadinali artist Domani Munga. “Njoki” is off Skillo’s new album The Rong Don 2 which was released on August 21.
Njoki Lyrics
Yoh! Alakazim alakazim
Kumkumbagya dissapear dissapear
Wengine wanacheer, wengine wanafurahia
Wengine wanacheer
My dear unanichapia ati no fear
Ju umenikufia
My dear
Hii ni mapenzi ya Juma na Rukia
Uko wapi nikufuate
Yujiro nitulie
Angalau nifurahie
Roho yangu itulie
Ekwesa Njoki wewe, ulienda wapi?
Rudi nyumbani, njoo ucheze nami
Kuja ucheze nasi
Ekwesa Njoki wewe, ulienda wapi
Rudi nyumbani, njoo ucheze nami
Rudi ucheze nasi
Hanaku pyamu chini ya jua
Under the sun combination whatagwan
Ya Father and son wenye hupiga dua
This is another one
Mi ni mnisa unajua, I just fun and have fun
Aki wewe unanipa kiwewe
Cheza kiwewe, nina kichele
Si mbwembwe wewe bado unatweng’ sheng
Hehe, pro-star njoki wewe, pesa kinembe
Sikuweza fika ibe, siko realer nikitembea
Niko mravi chochoro, I’m searching otonglo
Mdagi dogolo na sijai kufonyolo
Kudoz kwa floor normal, nishabuy godoro
Shombotolo goshodo wa Marish na Okongo
Na mi si star, niite Odongo
Ekwesa Njoki wewe, ulienda wapi?
Rudi nyumbani, njoo ucheze nami
Kuja ucheze nasi
Ekwesa Njoki wewe, ulienda wapi
Rudi nyumbani, njoo ucheze nami
Rudi ucheze nasi
Ekwesa Njoki wewe, ulienda wapi?
Rudi nyumbani, njoo ucheze nami
Kuja ucheze nasi
Ekwesa Njoki wewe, ulienda wapi
Rudi nyumbani, njoo ucheze nami
Rudi ucheze nasi