Okello Max – Taya Lyrics
Check out the “Taya” lyrics by Okello Max on Kelxfy. “Taya” is a Dholuo word that means light.
Taya Lyrics
Naanzaje laumu
Love iliisha mapema
Mapenzi yasha nidhulumu
Maisha haya ya sinema
Kwani tutakula mapenzi tu?
Swali limenivua heshima
Ipo siku nitafaulu
Na roho yangu mi nitaikinga
Oooh, ni salama
Salama nawe napiga sala
Na nainama, lazima niiname
Mvunguni nafika
Yashamwagika na yatazoleka
Siezishindwa
So ni salama, salama nawe
Salama
Yawa ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Milkoda mogik kapokisimo, taya
Ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Milkoda mogik kapokisimo, taya
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Abebo kirisimna taya
Asebedo kamanyo manyoge
Gima mari mari
To matin mayudo okoromi
Juu we ni baddie
Awino Mariana
Ona umefanya pii wang’a chwer
Ulinidanganya utakuwa pamoja
Koda nyaka chieng
Salama, salama nawe
Napiga sala
Na nainama, sharti niiname
Mvunguni nafika
Yashamwagika yatazoleka
Siezi shindwa
So ni salama, salama nawe
Salama
Yawa ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Milkoda mogik kapokisimo, taya
Ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Milkoda mogik kapokisimo, taya
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Kirisimna taya
Abebo kirisimna taya
Nicheze nawe mara ya mwisho
Mbele nyuma
Nicheze nawe mara ya mwisho
Mbele nyuma
