Wakadinali ft Khaligraph Jones – Tourist Lyrics
Tourist lyrics by Wakadinali featuring Khaligraph Jones off Ndani ya Cockpit 3 Album. Enjoy
Wakadinali Tourist Lyrics
Yo, hallo
Yo Aress, wolan
Sindio, hivo hivo tu
Shagla nish au sio?
Twende ha
Big Beats Afriq
Mtoto ni mfresh na ni tourist
[Hook: Domani Munga]
Mtoto ni mfresh huyo ni tourist, tulimeet Westi Alchemist
Kaja Nairo kwa wajanja kuseti, Rong Rende wanyama wa mstuni, ha
Yunihallanga hadi Tuesday, jaba ni mamende Eastlando nimetuliz
Mtoto ni mfresh na ni tourist, mzuri mnduli wa ghetto
Mtoto ni mfresh huyo ni tourist, tulimeet Westi Alchemist
Akaja Nairo kwa wajanja kuseti, Rong Rende wanyama wa mstuni, ha
Yunihallanga hadi Tuesday, jaba ni mamende Eastlando nimetuliz
Mtoto ni mfresh na ni tourist, mzuri mnduli wa ghetto
[Verse 1: Domani Munga]
Yo, amedai ikifika ngware ati nijipe shugli ju hataki chali
Jaba ni mamende huku ndokas Miss Independent analia namonchoka
Kwani kuna swali? ha ah ah, sijadhani
Mtoto ni mshifre tuarinyo, ju mi ni man a badman I need me a bad girl
Doch nikimbunga El Nino, hebu 66 tufungue hii mvinyo
Alafu usisahau ye hajui mi ni msanii, venye analia ananipenda sana
Niko tu baroda na kishash, nilitumia headbrush nikaget ki head rush
Sh, shh, shh, shh, shh, Clash of the Titans
Hivi ndo Munga mi hukuja basi kufunza maniggas
Wakikwara kuvunja na si kufunza maninja
Staki swara kukuja kazi kuguza na injure
Nikigwara hizi kucha as in kufukuza ma jiggers
Kwa club tu wasupa shika banjuka
‘Sitoke through one two ka tuna shida banduka
Pombe kisha buy through kwa Super’ Pilsner maduka
Biz ya mahawker inanawiri, Jesus mzuka
[Verse 2: SewerSydaa Mkadinali]
Go hard or go home, makondoo joh si watu hu condone
Na hatuishi Soddom, on God hatupendi kuwa abnormal
Mambo ikienda kombo straight up angalia watu unachillingi nao
Black yet am proud wow, bow down na staki kuwa loud
Vile mambo huenda ulidhani ulianua Brenda kumbe ni Bredan
Mtoto mkamba ayela, ilibidi nimempea brown asifeel jealous
Culture shock Alchemist, Leila mbleina amegeuka hmm
Plus hafeel failures, na wanaume wanapenda kuteta teta
Offwhite unaianua offshore, na portion kidogo kwa mbosho
If so right tutaifanya rúciú, kama leo joh imepita threshold
Driller pia dealer, nimekam na vitu za kuheal the nation
Na-na-na misemo kushinda zile za leso
[Hook: Domani Munga]
Mtoto ni mfresh huyo ni tourist, tulimeet Westi Alchemist
Kaja Nairo kwa wajanja kuseti, Rong Rende wanyama wa mstuni, ha
Yunihallanga hadi Tuesday, si jaba ni mamende Eastlando nimetuliz
Mtoto ni mfresh na ni tourist, mzuri mnduli wa ghetto
Mtoto ni mfresh huyo ni tourist, tulimeet Westi Alchemist
Akaja Nairo kwa wajanja kuseti, Rong Rende wanyama wa mstuni, ha
Yunihallanga hadi Tuesday, si jaba ni mamende Eastlando nimetuliz
Mtoto ni mfresh na ni tourist, mzuri mnduli wa ghetto
[Verse 3: Scar Mkadinali]
For real
Leo mi ninacheza Westi, huku Eastlando joh washanijua
Msupa wa mutu ni bestie, umeshinda unambeep manze joh unatusumbua
Bora tu sura ni sexy, wachana na haga boo tutanunua
Anajua mi nina jeshi just in case motherfuckers wajaribu kuzua
Mtoto ni msafi mtalii, usijifanye hutaki msanii
Msupa ana packe anadai aniweke ati sihitaji kazi
Akapea kila mtu wa Rong Rende, mamtasis, cousins
In case ulidhani hizi ni mambwembwe
Waambie there’s something charging
Yo, bado niko ngangari, bado mi si charari
Kama kitu moto tunaongezea paraffin
Baby pussy yako imenijazia gallery
Ninaibeat mpaka ananipea salary
Me and my G’s tukikuja ni ma parararara
Ni chafu kila mahali ukikaa na mi
Mtoto wa mtu ananiita daddy, Wakadinali
[Verse 4: Khaligraph Jones]
Mtoto ni mfresh ni mtourist (Mamacita, mwah)
Extravangante Maria she different sort of (Extravanganto)
Five-star hotel she gon’ make decent orders (Decent orders)
Only rank Louie V and her shit’s imported (Woo, woo, woo)
Her whole personas fightin’ it, but no complaints am likin’ it
Me give her de ting then me pipin’ it
The first time we met was in Alchemist
I drop the bag then she whine fi me (Whine fi me)
But she no whine for no waste man
Broke boy hate when I make it pour (Make it pour)
Ask her if she had enough but the girl dem tell me “Mooore”
Mia kwa mia ngeus anakaa Khalifa
But ka unadigi hio story unafaa kanisa
Yeah, napenda usherati sindio mnapata picha, ha
Anapenda mangwati shots huzitaka sita
Mi huimada na madakika, beat it up kama jab za Conje’
We hupendanga marap za E-Sir, perfect tunavibe so tuongee
Real rap hii si namba tisa, usiende huko juu talent onge
Rong Rende inabump kwa speaker, OG hakunanga compee
[Hook: Domani Munga]
Mtoto ni mfresh huyo ni tourist, tulimeet Westi Alchemist
Kaja Nairo kwa wajanja kuseti, Rong Rende wanyama wa mstuni, ha
Yunihallanga hadi Tuesday, si jaba ni mamende Eastlando nimetuliz
Mtoto ni mfresh na ni tourist, mzuri mnduli wa ghetto
Mtoto ni mfresh na ni tourist, tulimeet Westi Alchemist