GTA ft Sewersydaa – Green kwa Kichwa Lyrics

Check out “Green kwa Kichwa” lyrics by GTA featuring Sewersydaa Mkadinali. “Green kwa Kichwa” is the first collaboration between GTA and Wakadinali member Sewersydaa.
Green Kwa Kichwa Lyrics
Yoh!
Green kwa kichwa ndo mi nataka
Namedingi after saba
Friday tena niko kajaba
Zishike hadi kama grabba
Mi ndo hukuwanga your local trapper
Na hulipwa ni ka Osama
Look ni fisa kwenye ki Farma
Kuzoza tu na ki jamaa
Don kwa street na boss kwa drill
Na bado flow ni ill
Namba tisa niite Karim
Hauwezi pata na simp
Na life hu end hauwezi skip
Usitake kuishi cheap
Na hao mangwete si for keep
Wengi wamecuff hii street
Wamekam jeshi ya mtu tisa
Kwa shake ya mi kusaka mbichwa
Hessy hawapendagi drugs
Vice versa wanazisafirisha
Rayc alikwama lines ma TY
Na gava ikamsafisha
Hawaezani na si ni ka Conglomerate
Hauwezi kata kichwa
Guns, drugs violence
Mi niko na remedy pon mi garden
Rende ni rong hatujali tumechoma 77 times 7
Flight iko landing
Tumetoka heaven mandem usiteveve
Rombota ni ya mbele plus mamende
Manegerr wacha aveveke
Easy ka alphabetic
5 amkeni psychedelics
Economy haituwezi
Plant yangu sichukui na deni
Hadi karao akishika pedi
Bado mi stoner cheki merits
Hadi karao akikam na heli
Bado mi stoner cheki merits
Green kwa kichwa ndo mi nataka
Namedingi after saba
Friday tena niko kajaba
Zishike hadi kama grabba
Mi ndo hukuwanga your local trapper
Na hulipwa ni ka Osama
Look ni fisa kwenye ki Farma
Kuzoza tu na ki German
Don kwa street na boss kwa drill
Na bado flow ni ill
Namba tisa niite Karim
Hauwezi pata na simp
Na life hu end hauwezi skip
Usitake kuishi cheap
Na hao mangwete si for keep
Wengi wamecuff hii street
Ka si machine natumia hio acid
Kama freestyle air kwa backseat
Hii duka daytime ni ma candy
Six ikihit wanasupply mabangi
You don’t make —
And you don’t make sense
Nishow this year did you make any money
Alafu umeona news uko na how many hits
Bila feature ya bani
Msee usidiss na buffer ka Chrome
Ni ka hujui hadi scoreboard
Ati anakuwanga one of the bros
Jua hii upini haitambui hio bro-code
Usikuwe ka THay
Alifanya for views na hakupata hadi follow
So what the fck is a thousand views
Nina a thousand ways za kumzima ka —
If I get this one
Ensure namwacha tu handicap
Hajamaster hadi ABCs
Na anadai ako cold
Vaa hio cadigan
Ofcourse naandika nikis*x
Same time narelax
What you know about multitask
Anadai nimtoe hio bally
Sikujua hio b inastand for battyman
Green kwa kichwa ndo mi nataka
Namedingi after saba
Friday tena niko kajaba
Zishike hadi kama grabba
Mi ndo hukuwanga your local trapper
Na hulipwa ni ka Osama
Look ni fisa kwenye ki Farma
Kuzoza tu na ki jamaa
Don kwa street na boss kwa drill
Na bado flow ni ill
Namba tisa niite Karim
Hauwezi patana na simp
Na life hu end hauwezi skip
Usitake kuishi cheap
Na hao mangwete si for keep
Wengi wamecuff hii street