Wakadinali Sikutambui Lyrics
Check out Wakadinali “Sikutambui” lyrics off their new album Ndani ya Cockpit 3. “Sikutambui” is a Swahili word that means “I don’t mind you”. Sikutambui” has been trending on Tiktok and is the most Shazamed song in April 2023 in Kenya.
Sikutambui Lyrics
(Big Beats Afriq)
For real! Mbona ni nyinyi nawawasha
Nikikula nyama choma tufirifiri na Tusker
Bro amejituma ako kazini anaisaka
But anajua bibi yake anafanya nini Naivasha?
Woi! Aki si Kenya kuna content
Nashindwa nidunge chain gani so nazidunga zote
Anataka nimwage ndani mi namwaga kwa matope
Si hubonga kilami tukitaka ganji itoke
Normally shembeteng, mamolly kwa Heineken
Mon Ami, you’re my friend, we got rich in the ends
Tulimtupa kwa boot si tulimtrace na magun
Ka huamini tuko lose uliza– aling’am
Si ni maburglar for sure na hii si siri
Balaclava huezi nijua kwa CCTV
Bro nikimwambia haskii na ye’ si kiziwi
Ka si biz utanipata nimesare sikimbizi
[Domani Munga]
Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
Njege masanse hawatutaki
Ka hunitambui sikutambui
Wazing wako na whaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am, na una—
Wazing wako na whaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am, na una—
[Domani Munga]
Bora na waks wathara
Ukikwara askari wa msitu giz ni kukimbiza maswara
After masjid masti ikilost
Easich wazing tunapiga baroda na kigwara
Tumbo yoyoto mpoa yazil lombotost
Hizo mangoto 6 feet deep, deep ni vile alimarwa
Homeboyz hapana taka mchezo ati nahama
Tomboys bomboclaat bado unazimarwa
Baroda sare kindipi tukishoot hizo masaa
Minus warazi tunaaddingi ma ombre
Sitaki news joh mheshimiwa kuliendaje tena jamaa?
Divide makazi zitimes-ingi to the jobless
What about QCCBs?
How about Gen Z how about that?
What about QCCBs?
How about Gen Z how about that?
[Domani Munga]
Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
Njege masanse hawatutaki
Ka hunitambui sikutambui
Wazing wako na whaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am, na una—
Wazing wako na whaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am, na una—
[SewerSydaa Mkadinali & Domani Munga]
Yoh, tunadrip design tumekuwa maplumber
Tunabeef joh, sidhani ka mtaezana
Labda p-stock ama kofi ka ya Anan
Pigia Skillo tuchukue maskank ka za das
Mi ni pro kwa hii shit si ati najigas
Kuna bro amejipin kiaAP na ni kiwhap
Mwili yangu ya kwanza nilishikanga nikirap
Tuko waks kushinda biz wera imetugeuza wasps
Moshi moja ya pili ya utat na unakuf kuf
Tuko holy masoldier, matroop na ma crew crew
Unang’am? Unang’am?
Uli-ulidai ati una kitu na—
Una makali na graph yetu inaimprove
Speed flani Kawasaki nikikam through
Kama lightning, tukijam ni kustrike tu
Kuthigitha warazi ndo kitu si hudo
[Domani Munga]
Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
Njege masanse hawatutaki
Ka hunitambui sikutambui
Wazing wako na whaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am, na una—
Wazing wako na whaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am, na una—
Wazing wako na whaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am, na una—
Wazing wako na whaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am
Na mawhaps ka unang’am, na una—