Matata ft. Watendwili – Mangware lyrics
Check out “Mangware” lyrics by Matata featuring Watendawili on Kelxfy. “Mangware” is a Sheng word that means early.
Mangware Lyrics
Thum mora ehh ehh
Yawa thum mora
Atim nadi yawa thum mora
Gini mit yawa
Matata Matata
Asubuhi nafika koro ka missed call aneno
Simu nyingi jaber nyi gochona
Tabiya mbaya tinde asandiga
Aluta aherora
Tinde alokora tinde atemo
Adog e ot chony adog e lemo
Anything you want donge abo kelo
I wanna treat you right you know am able
Asubuhi ikifika baby usjali I will be there
Asubuhi ikifika baby usijali nitatokea
Maaaaah Mangware mahhhhh mangware
Hadi maaaa mangware maaaa mangware
Nga’ngo kwa tumbler na niko handas
Nyako Mkamba akona ngotha kwa handbag
Aliona mzee John aka kosa comeback
Hata ikuwe ni iPhone siwezi kosa charger
Nimeharibika tei fegi bangi in deh
Nina Veronica anadoo vitu za ndani injeeeee
Soo keep distance ikikunice
Hujanotice hii T-shirt ni ya white
Naweza toa glock bro hii si cold war
Mara ngapi tumezungukako opp block
Tuki hot box kwa probox na coprol
Ukitucheki kaa mbali
Asubuhi ikifika baby usjali I will be there
Asubuhi ikifika baby usijali nitatokea
Maaaaah Mangware mahhhhh mangware
Hadi maaaa mangware maaaa mangware
Saa zingine nakuanga a bad man
Saa zingine nakuanga a sad man
Watu wanasema mi ni physco
Juu life inamunivingi in cycle
Mkono moja nimeweka juu ya bible
Ingine nimeshikilia kuraiku
Run teke teke buda run teke teke
Makarao wanifuata kidisaipo
Asubuhi ikifika baby usjali I will be there
Asubuhi ikifika baby usijali nitatokea
Maaaaah Mangware mahhhhh mangware
Hadi maaaa mangware maaaa mangware
Hello Goodmorning Glory
Sorry for the 2 seconds, we ni Kama Mary
Too good kitu iko very
Verified, very fine thank you uuh
I’m feeling sensational
Naskia poa, ninajiskia
Leo Naomba msini advice
Mkiona na trip please mcheze chini
Na Leo mi sitaki mabishano
Nikisema kitu please niamini
I’m feeling sensational
I feel sensational
Niko works ndio adoz ka malkia
Masela zimenice tuko high ka kaiga
Baby girl go style up
Who said you look better with your make up on
Ohh no no no
Can’t have it kichwa mbaya
Kichwa ngumu my shaggy
Jaber why do u make my dick hardy
If you diss me am disturbing
Giz giz ka si biz please tag me
Asubuhi ikifika
Baby usjali I will be there
Asubuhi ikifika
Baby usijali nitatokea
Maaaaah mangware ahhhhh mangware
Hadi maaaa mangware maaaa mangware
Maaaaah mangware ahhhhh mangware
Hadi maaaa mangware maaaa mangware
