Kapitani ft. Toxic Lyrikali – Shing Lyrics
Check out “Shing” lyrics by Kapitani featuring Toxic Lyrikali on Kelxfy. “Shing” is a new track that explains life in the Eastlands Nairobi, Kayole.
Shing Lyrics
Yeah, inarekord kweli?
(We Global Music)
Yeah..
Kwetu ku cute masaa ingine kuna get ugly
Ati mtatu-round izo ni jokes za Charlie Chaplin
Trust me, tunajiuliza mtafika saa ngapi?
Mokoro akienda party anatuletea pilau inabaki
Ona bakishwa si unadeal na magirimba
Uezi tupima ujanja na utupime ujinga
Tunakutokea ni ka unapeana mafuta na unga ya ngano
Fala ana vitisho ni kama amekuja kuona mpira
Just like that…
Anabonga ghetto ama people like that
Mi nimesweat ya fi heavy piga gut
Tuliza mfupa ama ufinywe kama mkebe ya makaa
Ujue nimejipin, ujue nimejipin
Nani alikushow utauza bangi huku within
Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing
Umundu khumundu hakuna mrahisi huku East
Ujue nimejipin, ujue nimejipin
Nani alikushow utauza bangi huku within
Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing
Umundu khumundu hakuna mrahisi huku hivi
Side giza ni advantage
Na jua huchomokea huko njei magiz
Ni ka na suffer imsomnia
Chuom ni ndogo na ukiingia unatoshea
Kesho kesho mchana utashuku wenye wanaroria
Njege akiwa solo, kikitu inapotea
Kuigisia ni kupotea na nahofia mahoe pia
Ni uwin town na tunacause pneumonia
Raia atakutetea lakini choche nitakuotea
Vijana wa 19 sitini
Tulikuwa wa kwanza hadi kwa mpilili
No silly movie active kama Eastleigh
Jeshi kama kambi na nikiwa solo sikimbii
Si ma para nikikushow iko kwa kichwa
Paria paria za maingo ati tuna-adisika
Usinitaje hatuko rika moja na ujatajirika
Ukikunywa liquour, unabadilika
Ujue nimejipin, ujue nimejipin
Nani alikushow utauza bangi huku within
Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing
Umundu khumundu hakuna mrahisi huku East
Eeeh, juzi tutry ka kiatu mpya
Maboy wako unenge ni unga tunaskuma
Kuna namba nkidunga tunakuja kuwadunga
Mrazi ka Free Kick venye tunampura
Kitu ingine habana cheza na hesabu
Ju unaeza pigwa check ni kama unapandishwa mariyamu
Ata ningekuwa Shiti, sina masaa ya kuchekesha watu
We ni Kang’ethe tafuta mahali utauzia nyaru
Mangwai kama Shh-sh
Yangu nipakie bugizi
Mi urogwa na macianda na mangoko na malyrics
Mrazi apatwe beating, we labda sleepers
Sai najua utokee kidiii
Ujue nimejipin, ujue nimejipin
Nani alikushow utauza bangi huku within
Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing
Umundu khumundu hakuna mrahisi huku East
Ujue nimejipin, ujue nimejipin
Nani alikushow utauza bangi huku within
Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing
Umundu khumundu hakuna mrahisi huku hivi
