Only Moh – Lazima Tu Win Lyrics
Check out “Lazima tu Win” lyrics by Only Moh on Kelxfy. “Lazima tu Win” is off the More Money More Problems EP released by Only Moh to solidify his career.
Lazima Tu Win Lyrics
Lazima tu win
Maisha itachange, tushike ma mil
Kabla nidedi niandikie watoi wangu will
Lazima nitalipia mandugu ma bill
Aminia lazima tu win
Lazima lazima tu win
Lazima lazima tu win
Lazima tu win, lazima
Kabla nidedi niandikie watoi wangu will
Lazima tu win
Maisha itachange, tushike ma mil
Kabla nidedi niandikie watoi wangu will
Lazima nitalipia mandugu ma bill
Aminia lazima tu win
Lazima lazima tu win
Lazima lazima tu win
Lazima tu win, lazima
Kabla nidedi niandikie watoi wangu will
Lazima ni win, matrophy si cap
Lazima nitaweka mandugu kwa map
Niwatoe kwa block na rap
Lazima nishike mareka si nap
Lazima ni trap
Nadai kujaa nikishop nitoe maziwa kwa card
Haibambi ndugu akiswitch ni sad
Nadai kuwin nipewe ma award
Down below nimetoka kwa mud
Cup yangu si chingri nimejaza mud
Design hadi chini juu siku hizi mi mral
Nadai mabundle nizifunge kwa band
Rollie Patek na Richard kwa hand
Wish za mkoro nadai kuzigrant
Wakibonga nasonga sijali wakichant
Usitry kunicause kuna kitu nimesunda kwa pant
Money pekee inanimotivate
Ka pesa iko ndani siezi debate
Ka haujaistarve huezi relate
Past yangu ni dark thats why na repent
Mahasidi ni wengi journey protect
Doh ikicall siwezi reject
Nampenda siwezi pretend
Nachill na mabros nipate –
Lazima tu win
Maisha itachange, tushike ma mil
Kabla nidedi niandikie watoi wangu will
Lazima nitalipia mandugu ma bill
Aminia lazima tu win
Lazima lazima tu win
Lazima lazima tu win
Lazima tu win, lazima
Kabla nidedi niandikie watoi wangu will
Lazima tu win
Maisha itachange, tushike ma mil
Kabla nidedi niandikie watoi wangu will
Lazima nitalipia mandugu ma bill
Aminia lazima tu win
Lazima lazima tu win
Lazima lazima tu win
Lazima tu win, lazima
Kabla nidedi niandikie watoi wangu will
Mi ukinidai lazima utakanja
Nadai nipande na ndege kwa first class
Nitaweka mtaa yangu kwa Atlas
Moves zangu ni real ka pastor
Msom nawasha ka rasta
Lazima tushinde tuhepe disaster
Watoi wangu niwagift ka Santa
Huwezi compare kurutu na master
Ka Prezzo nifuatwe na Chauffer
Pesa ona unapenda so ka mbali ka si doh unaoffer
Nakumbuka nidoz kwa sofa
Nadai kuburst maziwa ka sponsor
Talk ni cheap ka ukanji sibanji
Wanayap hizo riba hazibambi
Nyamaza ka ubanji maganji
Wajackoya uvuta bangi
Lazima tu win, tucash izo brown
Niko high kwa stu’
Nadai kutoka kwa ground
Ni mareal daily hunisurround
Aminia lazima tu win
Tucash izo mil
Maisha ichange, niishi ka king
Shopping na bibi kwa German machine
Mums huniombea daily amin (Amin)
Lazima tu win
Maisha itachange, tushike ma mil
Kabla nidedi niandikie watoi wangu will
Lazima nitalipia mandugu ma bill
Aminia lazima tu win
Lazima lazima tu win
Lazima lazima tu win
Lazima tu win, lazima
Kabla nidedi niandikie watoi wangu will
Lazima tu win
Maisha itachange, tushike ma mil
Kabla nidedi niandikie watoi wangu will
Lazima nitalipia mandugu ma bill
Aminia lazima tu win
Lazima lazima tu win
Lazima lazima tu win
Lazima tu win, lazima
Kabla nidedi niandikie watoi wangu will
