Femi One ft Nyashinski – Under The Influence Lyrics
Read “Under The Influence” lyrics by Femi One featuring Nyashinski on Kelxfy. “Under The Influence” talks about partying and having fun.
Under The Influence Lyrics
Leo sina ganji so ukilewa
So kileo nakibembeleza ka mtoto
ID Ferrari zimebaki kwa Mbosho
Huwezi jua niko nunge nikipost photo
Tunawasha kiwash wash ni ka tuko lotto
Vodoo moto inachoma koo leta chaser
Niko kwa dance floor, zimeshika nikicheza
Vile napewa macho ka kipofu na ma mandem
Yule mubaba pale nitampandisha pressure
Oops under the influence
Mix sheng na kizungu ni too fluent
Collabo ya kapienga na Lumumba
Tuko Mwiki kwa local after party iko Runda
Mmmh! Under the influence
Mix sheng na kizungu ni too fluent
Collabo ya kapienga na Lumumba
Tuko Mwiki kwa local after party iko Runda
Wanajua Shin chiller ndo kabisa
Vile mi natisha simu zinaring
Kila siku tuko biz na shingo zina bling
Naishi dream ya shin akiwa younging
Na mi ndo tunadig
Usiulize ka hii gari ina space
Kuna drink unaharibu ukieka chaser
To Mercedes from kalesa
Utatesa, haina pressure
Hii ikuwe mwaka ya kushika mita USD
Ni kuwe mahali unafikiria niko ya ukweli
Na rap vitu unaona kwa vision ndio ujue mi
Naanzanga ka nishaona mwisho ki- Jayz
Nakuomba permission sikuwa free
Na wako na wako mission kuwa ka mimi
Na ndo maana hata hizo vitisho zao sisikii
One of one hakuna ingine ka hii
Oops under the influence
Mix sheng na kizungu ni too fluent
Collabo ya kapienga na Lumumba
Tuko Mwiki kwa local after party iko Runda
Mmmh! Under the influence
Mix sheng na kizungu ni too fluent
Collabo ya kapienga na Lumumba
Tuko Mwiki kwa local after party iko Runda
Kuna nganya mpya kwa route iko na AC ndani
Donda mali safi anakaa freshi kiplani
Ketchup kwa macho tunaficha na miwani
Kuna maziwa na maji, utanipata maskani
Shin chiler na maji utanipata maskani
Chini Chiller na mi Femi One killer
Mjusi kafiri nishadow kwa Godzilla
Macrate ziletwe na tukunywe tubebe
Matumbler usituletee, tunakunywa kwa pembe