Nimependa Remix Lyrics – Guardian Angel, Deus Derrick & Sammy G
Check out “Nimependa Remix” lyrics by Guardian Angel ft. Deus Derrick and Sammy G. “Nimependa Remix” is special because it led to the discovery of Sammy G, one of the fastest-rising Kenyan gospel artists. He is signed under Seven Heaven Music by Guardian Angel. Presenter Kai first discovered Sammy G’s talent.
Nimependa Remix Lyrics
Uyee uyee, uyee yee yee
Mi sijutii
Mi sijutii kupata wokovu
Ningali kijana ayeeee
Nimepata amani iliyo ya kweli
Amani ambayo sikupata kwingine
Mungu nayejivunia
Si Mungu niliyesikia
Ni Mungu ambaye nimeona akitenda
Kwake napata raha kila kitu nafanyiwa
Sioni hasara, Mungu ananipenda
Kwake napata raha kila kitu nafanyiwa
Sioni hasara Mungu ananipenda
Aiii! Nimependa penda nimependa
Nimependa unvyonitembeza
Hey nimependa! Nimependa penda nimependa
Nimependa unvyonitembeza
Kuna changamoto hutokea katika safari ya wokovu
Ila mapito yako yanatendeka kwa wema
Piga simu, pigia rafiki zako simu
Wote leo uwambie
Una shida sana unahitaji support
Ukimaliza pigia na Mungu wako goti
Kisha naye umwambie
Una shida sana unahitaji support
Hapo ndipo utaona
Nani anayekutania, atakayekusaidia ayee
Kwa Mungu wangu napata raha
Kila kitu nafanyiwa
Nina imani kwamba Mungu ananipenda
Kwa Mungu wangu napata raha
Kila kitu nafanyiwa
Nina imani kwamba Mungu ananipenda
Nimependa penda nimependa
Nimependa unvyonitembeza
Hey nimependa
Nimependa penda nimependa
Nimependa unvyonitembeza
Maandiko yanasema
Mkumbuke Mungu muumba wako
Ungali kijana ado una nguvu
Maandiko yanasema
Mkumbukwe Mungu muumba wako
Ungali kijana bado una nguvu
Usijidanganye
Eti bado ungali kijana
Unavunja mifupa mifupa
Kuokoka ni uzeeni
Kwanza kufika uzeeni
Siku hizi ni majaliwa (Ayee)
Maisha ni mafupi sana
Muishie Mungu (Ayee)
Kweli kufika uzeeni
Siku hizi ni majaliwa
Maisha ni mafupi sana
Muishie Mungu
Nimependa mimi
Nimependa nimependa
Nimependa unvyonitembeza
Nimependa mimi nimependa nimependa
Nimependa unvyonitembeza
Nimependa penda nimependa
Nimependa unvyonitembeza
Nimependa penda nimependa
Nimependa unvyonitembeza