Maandy ft. Breeder LW – Mbichi Lyrics

Check out “Mbichi” lyrics by Maandy featuring Breeder LW on Kelxfy. “Mbichi” is a sheng word used to mean something new.
Mbichi Lyrics
(Eyo Metro Suka Doba)
Uptown, Downtown mashup kila area
Naidai naiwai, ndio inakuwanga criteria
Ni pyamu, ni mbichi, ni fisa alaa
Skiza Kabaya akichachisha alaa
Ni kaa tuko F2 nditni, Finas
Super Marcus tubebe kama miracle za Jesus
John Maina, Theka Theka, massive
Kamzozo kazoze, matawi ni organic
Na kwani fom ni gani
Kaschana ni mrembo flani
Haga seti gizani
Unanisuka hunipati
Uradi sikosi yaani
Predator inaosha taxin
Ras anapiga mbati
Tsho toja ni khaki
Stenje mi silali (Silali, silali)
Njege anataka ngapi (Mangapi, mangapi)
Ulisema uliniona wapi? (Ah wapi, wapi)
Si ungoje na-come sa hii (Sahii, sahii)
Na stenje mi silali (Silali, silali)
Njege anataka ngapi (Mangapi, mangapi)
Ulisema uliniona wapi? (Ah wapi, wapi)
Si ungoje na-come sa hii (Sahii, sahii)
So basi digi Dikla (Mbichi)
Gwanda (Mbichi)
Lipgloss (Mbichi), chali (Mbichi)
iPhone (Mbichi), nywele (Mbichi)
Kila kitu mbichi toka juu hadi chini
Dikla (Mbichi), gwanda (Mbichi)
Lipgloss (Mbichi), chali (Mbichi)
iPhone (Mbichi), nywele (Mbichi)
Kila kitu mbichi toka juu hadi chini
Hey Miss Fatty Fatty unani-murder
Mi ni dem nina chali atakupona
Chrome Gin after shots nikuchoma
Nikuchoma (ah, ah), nikuchoma
Hey Miss Fatty Fatty unani-murder
Mi ni dem nina chali atakupona
Chrome Gin after shots nikuchoma
Nikuchoma, ah ah ikuchoma
[Breeder LW]
Mrenga ni mbichi, mbling ni za Easich
Mpoa ni baddie, shati baggy ndani G-string
Jana Achieng, leo Wambo kesho Christine
Yaani mamaa alafu wifey alafu bibi
Mali kaa ni fisa, fika maibe
Si tulisundanga maova juu ya dibre
Gwanda ka ni mbichi buda siezi ziacha inje
Uko OnlyFans na unakataa niku— (he-he)
Nganya ka si mbichi siezi panda hio ni lorry
More money more problems huwanga ngori
Na huko Daystar nina wasupa kama fourty
Badala waende lecture wako kwangu hadi jioni
[Maandy]
Ye hupenda nikivaa vitu tight
Alafu aseme baby me and you tonight
Inama kiasi ah, ah we si dem mshy
Na ni makali wacha story za polite
Cheki inasonga left na right
Bestie si uirushe left to right
Kaa anatoa fom mshow tupo site
City girl anawaka kitu nice
Stenje mi silali (Silali, silali)
Njege anataka ngapi (Mangapi, mangapi)
Ulisema uliniona wapi? (Ah wapi, wapi)
Si ungoje na-come sa hii (Sahii, sahii)
So basi digi Dikla (Mbichi)
Gwanda (Mbichi)
Lipgloss (Mbichi), chali (Mbichi)
iPhone (Mbichi), nywele (Mbichi)
Kila kitu mbichi toka juu hadi chini
Dikla (Mbichi), gwanda (Mbichi)
Lipgloss (Mbichi), chali (Mbichi)
iPhone (Mbichi), nywele (Mbichi)
Kila kitu mbichi toka juu hadi chini