Maandy – Bubbly Bubbly Lyrics (Na Niki)

Check out “Bubbly Bubbly (Na Niki)” lyrics by Maandy on Kelxfy. “Bubbly Bubbly” is a trending word on TikTok, and it means dancing or shaking behind.
Bubbly Bubbly Lyrics (Na Niki)
Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki—
Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki— na niki—
Na nikikuita utaitika
Tusisumbuane juu hujafika
Na waiter show tunapima
Nje ya Molly’s na bad zijashika (Bado)
Becky with the good hair, okay
Kabaya big bum bum, oh hey
Tuko jing tunacheza ma Lojay
Ukiwasha patia yule sanse
My baby my lover
Mapenzi undercover (Hush hush)
Na ye huwonder
Kama kuna another (Ni true)
Jing tangu jana
Sitemi sitawacha (No no)
Budget ndio blunder
So dishi kwa kibanda
Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki— na niki—
Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki— na niki—
Mi hupendanga machali tu fulani ah jangili
Ukichapa bare jamo iko bubbly bubbly
Zikishika utachizi na mangoma za Jabidi
Namuua na mastingo, andele andele
Boychild anadai nimpatie ka family
Kama Kabi na Milly, tutoi tuhappily
Mi si dem wa kusettle, ma dream si reality
Kula kitu hungry hungry
My baby my lover
Mapenzi undercover (Hush hush)
Na ye huwonder
Kama kuna another (Ni true)
Jing tangu jana
Sitemi sitawacha (No no)
Budget ndio blunder
So dishi kwa kibanda
Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki—
Na nikifika, unajua masaa
Nikirusha unapapasa
Na nikiitisha we harakisha
Na niki— na niki— na niki—