Macvoice Ukinichiti Lyrics
Discover Tanzanian artist Macvoice new song “Ukinichiti”. Ukinichiti was released on December 30, 2022. Ukinichiti lyrics talk of relationships and Macvoice tells her partner that when they cheat, he also cheats.
Ukinichiti Lyrics
Aliyekuumiza mtafutie mwenziee
Ili ukimposti akimuona aumie
Tena mkiachana chunga usimrudie
Post nyumba pesa gari ili ajutie
Ndo maana mimi simuwazi
Akichelewa kurudi naacha mlango wazi
Tena namwambia aogope maradhi
Akumbuke kinga asiende waziwazi
Nishaumizwa nishateswa na mapenzi
Nusu nitoke uhai uhai uhai
Nishaenyeka sana
Mi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahii
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yaani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yaani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Shii shi shishi, shishi shishi
Shishi shishi shishi
Shii shi shishi, shishi shishi
Shishi shishi shishi
Kidole changu kimoja hakivunji chawa
Kama ukipenda boga penda na ua sawa
Ata ukiniroga usizidishe dawa
Nipe chuzi kunoga nijitanue mabawa
Haya mapenzi hayanaga fundi Ouuh
Haya mapenzi yalikuwepo toka enzi uuh
Acha nilewe eeh acha nipombeke
Aah stress zanini eeh pembeni nijiwekee
Acha nilewe acha nipombeke eeh
Stress za nini eeh pembeni nijiwekee
Nishaumizwa nishateswa na mapenzi
Nusu nitoke uhai uhai uhai
Nishaenyeka sana
Mi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiii
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yaani shingapi
Ya nini tuumizane roho?
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yaani shingapi
Ya nini tuumizane roho?
Shii shi shishi, shishi shishi
Mh shishi shishi shishi
Shii shi shishi, shishi shishi
Mh shishi shishi shishi
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yaani shingapi
Ya nini tuumizane roho?
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yaani shingapi
Ya nini tuumizane roho?
(Kamix Lizer)