Harmonize – Sijalewa Lyrics
Check out “Sijalewa” lyrics by Harmonize on Kelxfy. “Sijalewa” is a feel-good song that talks about positive vibes.
Sijalewa Lyrics
Huyo ex wakunifanya ninywe nilewe
Mbona simuoni (Simuoni)
Mawazo ya kunifanya ninywe nilewe
Me siyaoni (Siyaoni)
Na ukiniona nipo kiwanja
Nipo hapa kuruka kwanja
Mara moja moja navutaga ganja
Jicho likae kijanja
Mmh thanks baba God for the Blessing
I’m living my life no stress
Music is just my dream am chasing
Ukisikia nimelewa ni tetesi
Ona ninavyo nata aah
Na beat piano za kisasa na tbt
Mwendo wa kwaito tunayarudi
You can tell sijalewa ni kusudi
Leo! Sijalewaaa, sijalewa, sijalewa
Me nafanya kusudi
Sijalewaaa, sijalewa, sijalewa
Me nafanya kusudi tu
Siku nikilewa mtajua mbona mtajua
Mmh! Kuna mtu hichi kichwa anakisumbua
Siku iyo mtamjua
Mwenzenu pombe nishaacha, kuvuta nishaacha
Ila mapenzi siwezi acha japo yananiumiza
Na ukiniona nipo kiwanja
Nipo hapa kuruka kwanja
Mara moja moja navutaga ganja
Jicho likae kijanja
Mmh thanks baba God for the Blessing
I’m living my life no stress
Music is just my dream am chasing
Ukisikia nimelewa ni tetesi
Ona ninavyo nata aah
Na beat piano za kisasa na tbt
Mwendo wa kwaito tunayarudi
You can tell sijalewa ni kusudi
Leo! Sijalewaaa, sijalewa, sijalewa
Me nafanya kusudi
Sijalewaaa, sijalewa, sijalewa
Me nafanya kusudi tu
Na ukiniona nipo kiwanja
Nipo hapa kuruka kwanja
Mara moja moja navutaga ganja
Jicho likae kijanja