Metro Stunna – Money on My Mind Lyrics ft. Kaiza6

Check out “Money on my Mind” lyrics by Metro Stunna featuring Kaiza6 on Kelxfy.
Money on My Mind Lyrics
There is money on my head
Na bado napiga lap
Facebook, IG ndo mahali anaweza yap
Real street nigga na bado nafanya rap
I’m like hawa mapussy wao huwachocha na anacap
Who want smoke ndani ya zigi nakuwrap
Don’t talk on my gang ukijaribu nakuslap
Sita huwanga mbili nawapimia kwa map
I’m a real life thug, ninametal naweza clap
There is money on my head
Na bado napiga lap
Facebook, IG ndo mahali anaweza yap
Real street nigga na bado nafanya rap
I’m like hawa mapussy wao huwachocha na anacap
Who want smoke ndani ya zigi nakuwrap
Don’t talk on my gang ukijaribu nakuslap
Sita huwanga mbili nawapimia kwa map
I’m a real life thug, ninametal naweza clap
Shakeboy some sense, murder at it best
Huwezi survive ata ukuje na vest
Tell the opp mwenye alitake a pic at my ends
Enyewe we ni stupid on the head
Unatry fi test, the city of the dead
— you when you be laid
Unadai violence basi we indicate
Kuna venye ni kumedi kama chini ya kingem
Uko strapped na mauzi gang makauzi
Deep in the street hakuna ule ana ujuzi
Trigger finger imekaza, imejazanga misuli
Uliza budako uniitanaga big bully
How we do it, wanna know how we do it
— vijana ni unruly
Double 6 ni ya mapapa hakunanga Ranzscooby
Zero time ya ku bark!
There is money on my head
Na bado napiga lap
Facebook, IG ndo mahali anaweza yap
Real street nigga na bado nafanya rap
I’m like hawa mapussy wao huwachocha na anacap
Who want smoke ndani ya zigi nakuwrap
Don’t talk on my gang ukijaribu nakuslap
Sita huwanga mbili nawapimia kwa map
I’m a real life thug, ninametal naweza clap
There is money on my head
Na bado napiga lap
Facebook, IG ndo mahali anaweza yap
Real street nigga na bado nafanya rap
I’m like hawa mapussy wao huwachocha na anacap
Who want smoke ndani ya zigi nakuwrap
Don’t talk on my gang ukijaribu nakuslap
Sita huwanga mbili nawapimia kwa map
I’m a real life thug, ninametal naweza clap
Ka siko on adi phone pia iko off
Mali ni heavy one puff una cough
F-ck them niggas hatusuck them dicks
Siwezi nego na huyo pussy namhit kama golf
9 to 5 zako stainless steel
Luki diss nina members wataspin
UB40 redwine nitaspill
Post number tukuchangishie hospital bill
Niko strapped na kirembo ukinidiss nakuching
Anyone anywhere bado naifling
Bling na zangu ukijaribu nakusting
Catch me huroll na kigang
Ndo maana shawry ameclean
Ey boy knock knock who is in the door
Metro Stunna na makilly kama 4
Nimesnap many chance lakini nadai more
Nimepress machine hadi finger ziko sore
Na si cap nikisema niko ready for war
Broski ako on mali amejaza kwa ndoo
Snitching on gang we all know that a no
It’s a new age badness sio ka before
Also check out: Metro Stunna Biography
Read: Bad Man Crazy Lyrics