Toxic Lyrikali – Back Bencher Lyrics ft Countree Hype

Check out “Back Bencher” lyrics by Toxic Lyrikali featuring Countree Hype on Kelxfy.
Back Bencher Lyrics
Venye nawaview!!!
Angle ni ya side mirror
Ka ki-lorry nimejibebea majicha
Tu-go sanifing bado msipo makinika
Sigoi mras, skuma gunga hadi rehab
Countree inipige Hype nitrace mamita
Jamdown na nijipin itoka tisa
Namba ni jamo bado sijai badilisha
Labda mtaa ndo niwang’ore na class
Chuo tuliwai E!
Sai nawazoza na S class, GLE
Stima ka Tesla, magoals mi ndio shepherd
Chauffer sidai, safari najipeleka
S Class, S class, S class
One way! Convoy ndae inaongoza ni Defender
Strangers zii! Strictly inakuwanga members
Backbencher ndani ya S class
Backbencher ndani ya S class
Zero zero mileage ndae
Speedometer inachezea 260
Samahani kwa wenye wako kwa njikli
Role ikijipa model ananidigi
Naeza jitengenezea beef na dishki
Zero mileage ndae
Speedometer inachezea 260
Samahani kwa wenye wako kwa njikli
Role ikijipa model ananidigi
Naeza jitengenezea beef na dishki
Chase cash bila shortcut
But roadi ikiwa na jam natumia wrong turn
Very sure hatuwezi crash, S-Class
Kegonyi amepitishiwa steam akabonda
Natumia kama trojan kwa madem zao
Kuwavulia toja
Dirisha zikuwe top nihotbox na maboza
Kabaridi ni warm up
Full-tank namedi kuzoza longterm
Chuo tuliwai E!
Sai nawazoza na S class, GLE
Stima ka Tesla, magoals mi ndio shepherd
Chauffer sidai, safari najipeleka
S Class, S class, S class
One way, convoy ndo inaongoza na defender
Strangers zii, strictly inakuwanga members
Backbencher ndani ya S class
Backbencher ndani ya S class
Ukizua utararuriwa rectum
Ficha your mum
Unaeza skia mi ndio step dad
Diss me nikufanyie disinfectant
Ni mapeptang, pepepepeta!!
Nawapita unaezadhani wakuwa in motion
Wekeza mbona unaeka emotions
Ningekuwa adi ticha, mboka doba ndio moto
Anyway Kayole, Portmore
Venye nawaview!!!
Angle ni ya side mirror
Ka kilorry nimejibebea majicha
Tu-go sanifing bado msipo makinika
Sigoi mras, skuma gunga hadi rehab
Countree inipige Hype nitrace mamita
Jamdown na nijipin itoka sita
Namba ni jamo bado sijai badilisha
Labda mtaa ndo niwangore na class
Chuo tuliwai E!!