Rosa Ree – Mama Omollo Lyrics
Check out “Mama Omollo” lyrics by Tanzanian rapper Rosa Ree, a new diss track addressing Khaligraph Jones. “Mama Omollo” was produced by Bin Laden.
Mama Omollo Lyrics
By the time namaliza na wewe
Hio Kenya mzima itaniita bazenga dadii
Utajua mi ni godess na kila mbwakni
Akileta ufala lazima atatii
Simba akinyamaza kidogo mnamwita paka
Nyi wajinga kwa nini hamsikii
Tutakung’ata ng’ata ka pilau la pasaka
Ukijaribu kukuja TZ
Hatuhitaji luku kuwatesa
Kenya mzima inawavunja bei na juu
Unatishia Jordan za Garissa
Tukitafuta pesa unatafuta looks
Chali hapa umeyakanyaga
Usipochunga tunaita matanga
Mdomo inatupa tu takataka
Onetime for you mthfcker
Namaliza kunyonyesha Jay
Alafu nikuje kwa second born wangu Khali
Malkia wa mipasho hawavaangi boxer
We tukuvalishe ka panty
In this game I’m the wife
Jitafute labda tunaeza kufanya ka sidechic
Unabeba machuma ila kwetu
Utavishwa dera ukue ka pengting
Hatukuogopi buda
Nakuhate si hatuna idhaa
Nakufinya na nimetoka kuzaa
Hujui kuchana labda tu miraa
Kashindane na kaveve kazoze
Huku kwetu huwezi leta compe
Endelea kutucheki kwa tenje
Hii kipande utachapwa ndole
Mama Omollo, Rosa Ree mama Omollo
Mama Omollo, Rosa Ree mama Omollo
Mama Omollo, Rosa Ree mama Omollo
Mama Omollo, Rosa Ree mama Omollo
Let’s switch the lingo
I give a lesson in this game who the big dawg
Shout out my nigga chi chi chi
My nigga Chidi Benz you the king kong
Respect my big brother Farid Kubanda
The Swagger Don
My hometown Weusi, representing my hopcity
A1 vesitility king, yeah I told this nigga everything
MwanaFA, Big Babaa, RIP Ngwair and Langa
Prof Jeezy, King Zie Zie, rest in peace my bov Jeezy
Pamoja na hizo mehemehe bado humguzi my nigga mbuzi
Huku we ni msweery utakuja kuleta tu ushuzi
Watu ni pilipili, ukituvaa tunakunyoa f*dhi
Aki leo kivumbi, mama Omollo niko kwa ukumbi
Daddy utapakatwa upigwe mate ata ka una bunduki
Unaimba haraka, na uko na maneno
Unatumia nguvu nyingi
Si utasweat kwa tanye
Nakwambiaje hii TZ ni yangu
Na huwezi niletea compe
Achana na rap urudi Bondo
Uanze kuuza maembe
Mama Omollo, Rosa Ree mama Omollo
Mama Omollo, Rosa Ree mama Omollo
Mama Omollo, Rosa Ree mama Omollo
Mama Omollo, Rosa Ree mama Omollo