Toxic Lyrikali – Wrong People Freestyle Lyrics

Read the “Wrong People” freestyle lyrics by Kenyan artist Toxic Lyrikali on Kelxfy. “Wrong People” is a song that talks about love and relationships. Toxic Lyrikali tells a story of how he ended up loving the wrong lover and later went back to her.
Wrong People Lyrics
Yeah, Mboka Doba skia
Leo ndo siku ya mwisho namtext
Najipata nimemtext tena again
Situation ya kujaribu kuacha msee
Ukidondoka tena unaanza ma-regrets
Ni mapenzi lakini ananipiga ma K.O
Najaribu kundondoka ananiwekea lock
Akikuja anitulize nashindwa kusema No
Sifurahii venye kwa huyu maddam nimefall
Mi sai sitaki vako za huyu maddam
Siwezi force ka ilikataa ilikataa
Hivo ndo tunang’orana na mbogi
Lakini kikifika maithaa narudi kwa huyu maddam
“Hi, how was your day?
I’ve been thinking about you the whole day”
Grey grey kwanza nakula ma-grey!
Morning ya juzi ndo anani-reply same!
Wrong people,
We fall in love with the wrong people
Heartbroken down into pieces
We fall in love with the wrong people
Wrong people,
We fall in love with the wrong people
Ruthless, kuogopa commitment
We fall in love with the wrong people
Nguna alibambika ju nilikuwa na senke
Free-ride na mabeshte wabebwe
Aka upgrade sai ako ndani ya subenje
Hakuna Android, Iphone ndo tenje
Ni mavida tu za snap akifloss
Na digolo nyeusi akiwa pale Coast
IG nilishapiga like kila post
Nakaa fala mamorio-waushinda wakiniroast
Siku yangu kuzaliwa
Ndio ilikua excuse ya ku DM
Akanidi DM akanishow TML
Na bytha siko safe nateswa na huu mzee
Ma Post ni za kitambo sai sura ina madent
Kam unichukue tafadhali
Niko stage flani please come sai
Najua nilimess but sai nakuhitaji
Senke highway, speed ni ya Ferrari
Nikampeleka mtaa.. Thanks. Kiss
Akanimalizia na hug
Akaanza kudhani nitarudi back
We don’t do that
Labda one night stand
Wrong people,
We fall in love with the wrong people
Heartbroken down into pieces
We fall in love with the wrong people
Wrong people,
We fall in love with the wrong people
Ruthless, kuogopa commitment
We fall in love with the wrong people
Toxic siku zombo
bana sku zombo