Toxic Lyrikali – Hood Lyrics

Check out “Hood” lyrics by Toxic Lyrikali on Kelxfy. Toxic Lyrikali has been rising to the top with his tracks, and “Hood” comes as his fourth solo release this year after “Sick,” “Long Story,” and “Confirmation.”
Hood Lyrics
ManADManX
(Mboka Doba)
‘Skiza’
Nikitembea kwa hood
Niko na something to offer
Na nothing to loose
Very rude, mi sjai kuwa good
Kwa hood, the good ndio hugeuzwanga food
Tension ju ya maboys in blue
Unaeza tokwa bure bure na bado uzame tu
Valia hood, washindwe kukuzooom
Kwa hood, ndani ya hood
Nikitembea kwa…!
Approach kwa umbali utadhani niko cool
Karibia karibia nikuproove we ni fool
Magazine hairudingi home full
Kwa hizi chuom wanabuya
Ndani ya kifua, mbling zao zihunitua
Redboys, everyday juu ya duya
Nikinukisha after zimezidinda utanusa
Ka lorry ya takataka kwa highway
Sijali wengine I’m on my own lane
Alitii after kupatiwa long-cane
Ananiita “T” ju Lyrikali ni longname
Mostly mi humuona na nguo za birthday
Nimezungukwa na magoshodo ka bornfire
Ni kitambo uskiii mi nilisha expire
Nimejiaminia one-man empire
Sina rada ya mbele gari ni Messiah!
Nikitembea kwa hood
Niko na something to offer
Na nothing to loose
Very rude, mi sjai kuwa good
Kwa hood, the good ndio hugeuzwanga food
Tension ju ya maboys in blue
Unaeza tokwa bure bure na bado uzame tu
Valia hood, washindwe kukuzooom
Kwa hood, ndani ya hood
Nikitembea kwa…!
Na wa-assume wakingoja niwamiss
Ngware boys akirau alarm-we unasnooze
Kwa miguu na ground nimeshikilia
Karu tulikosana sai wanadai truce
Wanaogopa polisi na mraia inaogopa sisi
Watuamini na sio wao pia sisi kwa sisi
Ati pretty mi sionyeshwi upretty
Namove ka kipindi
Father God lakini usiache guide me
Niko kwa giza at a slighting
Maganji ni ka nafanya — anyongwe
Wakidai kunikulia ma hungry
Father God lakini usiache guide me
Niko kwa giza at a slighting
Maganji ni ka nafanya anyongwe
Wakidai kunikulia ma hungry
Nikitembea kwa hood
Niko na something to offer
Na nothing to loose
Very rude, mi sjai kuwa good
Kwa hood, the good ndio hugeuzwanga food
Tension ju ya maboys in blue
Unaeza tokwa bure bure na bado uzame tu
Valia hood, washindwe kukuzooom
Kwa hood, ndani ya hood
Nikitembea kwa…!
Also check out!