Vijana BaruBaru – Mbao Moja Lyrics & Meaning
Kenyan musical duo Vijana Barubaru is back with a new song “Mbao Moja”. Enjoy “Mbao Moja” lyrics on Kelxfy. Mbao Moja is a Swahili word that means twenty shillings. The song talks about making hard decisions in life.
Mbao Moja Lyrics
Ninapenda viazi karai
But nimenoki mathe wa mayai
Wote wako soko moja na niko na mbao moja
Na wote wawili wanaidai
Ninapenda viazi karai
But nimenoki mathe wa mayai
Wote wako soko moja na niko na mbao moja
Na wote wawili wanaidai
Mbao nimpatie nani? Mmh
Nikule food gani? Mmh
I need to be wise with my cash
Na sitaki kupoteza crush
Mbao nimpatie nani? Mmh
Nikule food gani? Mmh
Ju wote wako soko moja na niko na mbao moja
Na wote wawili wanaidai
Nimerudi soko but sijui niko side gani
A while back nilikuwa side ya vitunguu
Nipe carrot nione njaa ikiwa mbali
Nimenyanya na wanyeri hana kiwaru
Mi hukuwa supplier wa mihogo na cucumber
Na wa Nyanza ki miwa humumunya
Huku ni minji minji, huku ni samaki
Siwezi kula skuma daily ndi muthamaki
Finya avocado ndo ujue kama imeiva
Usiwekewe mchele ulale kama hujashiba
Mama Nduta hunientice na sambusa
Ye huniambia kopa kesho utarudisha
Mama Kinya ananipatia Mkombero for free
Ye hukula nanasi alafu anawin cut me
Mi ni mkulima huchagua jembe mami
But sasa hii mbao?
Mbao nimpatie nani? Mmh
Nikule food gani? Mmh
I need to be wise with my cash
Na sitaki kupoteza crush
Mbao nimpatie nani? Mmh
Nikule food gani? Mmh
Ju wote wako soko moja na niko na mbao moja
Na wote wawili wanaidai
Nimechoka kula githeri
Nataka nyama nionyeshwe butchery
Mbegu mbegu kitu kama grocery
Dilemma ambayo inakosanisha wamama
Nimechoka kula githeri
Nataka nyama nionyeshwe butchery
Mbegu mbegu kitu kama grocery
Dilemma ambayo inakosanisha wamama
Mbao nimpatie nani? Mmh
Nikule food gani? Mmh
Ju wote wako soko moja na niko na mbao moja
Na wote wawili wanaidai
Mbao nimpatie nani? Mmh
Nikule food gani? Mmh
Ju wote wako soko moja na niko na mbao moja
Na wote wawili wanaidai