Wakadinali – Chizi Lyrics ft. Kitu Sewer
Check out “Chizi” lyrics by Wakadinali featuring Kitu Sewer on Kelxfy.
Chizi Lyrics
Chizi karogwa upya
Chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya
Chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya
Chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya
Chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah
Chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah
Chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah
Chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah
Chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, na mtaa imebaki kuwa curious
Juu ule alimmanga, yule mrogi pia alinyuria
Sa wanashindwa niaje, juu amerudi na mzinga
Alafu kila kitu inakaa ka makali sa ni ndufya
Panda sol so ladder, ki do-re-mi so
Fala atinge mjido kabla aseme ti-do
Check out how malice hudestroy mali
Weka feelings za biz mbali
Gigs hapati, bills are piling
Ndio ni mimi still I’m cool, mziki kwangu ni kama tool
Yet on track ka Kiptum, na-fight na drums ka Kidum
Spray mamende na ki-doom, vunja hio chawa Kasipul
Heri kaswende asikose P2, General wa vuguvugu
I’m back from pen’ with no cent
Imagine saa hii joh siwezi party
Chizi fresh ka Chidi Benz ndio
Nimeachiliwa joh hanaku uradi
Plus Clark amedai he Kent
Next time ntakufia huko ndani
Juu ya lack of knowledge
Na stress ndio inafanya my people perish
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah, chizi karogwa tena
Hamuezi share sembe na misheveve
Huku njege ndio hutoka teke
Unga ya Pembe ndio najua pekee
Ukianika tenje, tapo juu ya mbege
Huyo dem ni mrisky mwache atakuumiza liver
Tunapiganga wera Nine to Five na hata hatupati silver
Alikuwa ni kamagera saa hii ni
Mwaki naskia anaendesha Bimmer
Chizi mkubwa ni yule ako
Na audacity ya kupatia chizi mimba
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah ah, chizi karogwa tena
Chizi karogwa upya ah, chizi karogwa tena
Na by the way, umeona ule Jesus
Ye huwanga kwa scripture tofauti sana
Na yule anafaa kuwa kwa fame
Lakini hata hakuwa anaipenda na by the way….