Masterpiece – Kichwa Mbaya Lyrics ft. Wakadinali
Check out “Kichwa Mbaya” lyrics by Masterpiece featuring Wakadinali artists Domani Munga and Sewersydaa on Kelxfy.
Kichwa Mbaya Lyrics
Usikuwe mslow
Ka kobe, hauna doh, kakope
Tuko ma-coke, Kurt Corbain
Sijuangi law najua attorney
Hichwa ficha
Inakaa anaipenda Riad Richie (yoh yoh)
Usilete kichwa hapa
Utarudi 6 feet bila
Kwa majina mi huitwa Driller
Ambia Rosy si anikute villa
Silaha huwaga panga
So mkitupanga msikuje na Fila
Hadi mi hushindwa
Si Stanely alihit wa kwanza ni Hitler
Body count ni ka mita sita
Huskii na mi hata sijawai vunja bikra
Mtachomaje ka huna rizla
Tukiwa sawa nyi mko bitter
Baby shower mlioshwa na mzinga
After makali mkakasirika
Kwani mnatakaje?
Kulainishwa, kulainishwa
Huyo msee nimemcome na roho mbaya
Alitoka nikakumbuka stingo ingine
Unakaa poa bila hizo mguu za mbu
Unakaa poa bila hio shingo
Alinitext I’m sorry
Sikujua we ni kanono
Alinitext I’m sorry
Kumbe we huwanga ivo
Alinitext I’m sorry
We ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry uh
We ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry
We ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry uh
We ni kichwa mbaya
[Masterpiece King]
Ni kijana black Benz
Na nlikuwanga back bench
Nakumbuka back then
Tukipiga ma apartments
Huh, handsome boy
Sijui nijipatent
Ka ni story ya doh
Mi ni rende mapakee
Tusare madre, na nangoja maparcel (mzigo, mzigo)
Hakuna witness tukimfanya yani ni perfect
Nikuje na Wuzu ukakuwa bubu shut up
Master aka Zuzu niko ma-taptap
Hatubongi sana, ah ah
Zetu ni pa! pa! pa! pa! pa!
It’s funny, karibu nikuwe pastor
Haturelate, ka huspin
Chocolate girl anadai brown skin
Big booty, bouncing
Niko maline, guy sling
Huyo msee nimemcome na roho mbaya
Alitoka nikakumbuka stingo ingine
Unakaa poa bila hizo mguu za mbu
Unakaa poa bila hio shingo
Alinitext I’m sorry
Sikujua we ni kanono
Alinitext I’m sorry
Kumbe we huwanga ivo
Alinitext I’m sorry
We ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry uh
We ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry
We ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry uh
We ni kichwa mbaya
[Scar Mkadinali]
Nakojoa kwa kaburi ya enemy
Nikiwa ma t-y expect anything
Double hio white na penicillin
Karibu nishikwe na plain Eastleigh
Ha, kama ni mambo ya Drill eazy peeni Slim
Na kama ni mambo ya deal, busy pay me G
Somali ting Somali ting
Anadai mi ni joker ye’ ni harlequin
Ka uko na ngwai unaeza washa mzing
Si unajua mi lazima nijipin
Sijui nirap, sijui nising
Ogopa hio nyap kwanza ka ameitrim
Sikujangi solo nakuwanga na team
Washa hio kolo mrenga ni tint
Si niwakumbushe mboka na sala
Bangi imededi tumetoka matanga
Huyo dem ni mchawi kama ako na shanga
All my chargies huniitanga founder
Zi hushuka zingine zikipanda
Naandika kwa tenje hadi inaisha charger
Ndo mshike KC ati mnachanga
Ukiwa area mambo ni shavaa
Huyo msee nimemcome na roho mbaya
Alitoka nikakumbuka stingo ingine
Unakaa poa bila hizo mguu za mbu
Unakaa poa bila hio shingo
Alinitext I’m sorry
Sikujua we ni kanono
Alinitext I’m sorry
Kumbe we huwanga ivo
Alinitext I’m sorry
We ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry uh
We ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry
We ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry uh
We ni kichwa mbaya
Huyo msee nimemcome na roho mbaya
Alitoka nikakumbuka stingo ingine
Unakaa poa bila hizo mguu za mbu
Unakaa poa bila hio shingo
Alinitext I’m sorry
Sikujua we ni kanono
Alinitext I’m sorry
Kumbe we huwanga ivo
Alinitext I’m sorry
We ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry uh
We ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry
We ni kichwa mbaya
Alinitext I’m sorry uh
We ni kichwa mbaya
Kichwa Mbaya Reaction
Check out Kichwa Mbaya reaction below by Kelx.