Wakadinali – Kum Baba Lyrics ft. Abbas Kubaff, Wakuu

Check out the “Kum Baba” lyrics by Wakadinali featuring Abbas Kubaf, Wakuu, Pepela and Masterpiece on Kelxfy. “Kum Baba” is a song off Wakadinali’s new album, “Victims of Madness 2.0.”
Kum Baba Lyrics
(Big Beats Afriq)
Kum baba, Kum baba
Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba
Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba
Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum kum baba, kum kum baba
Zima huyo fala ka fegi akianza joh kumblein
Pedi huchoma ganja vedi anasahau ni plain
Cut cocaine ufuate Kurt Cobain
Ni ma tap tap, tap tap, adisia tei
Niko na alele na nakauma hadi che
Pande ya left ni gwethe hio ingine ni cheng
Anataka nim-lay lay na hakutuma hata plate
On to the next, huwa hatufinyi replay
Nimekuwa engaged na mavitu mingi ndio maana nimekuwa nikiua verse
Hii ni carcass waliidash
But wakashindwa vile wataireverse
I be the worst of the best
Ndio maana nikimada mnasema ati najigas
Na nikarest the case
Nikapanga vile naweza nikaji-emerge
Nawaonyesha vile naeza murder the rest
Ka hii ni contest basi
Niwache nikiingia jiembrace
Naweza confess nimekuwa murderer
Kutoka niwache tei
Madenge nakomomesha vile
Nawamanganga joh ni kama ni mei
[Chorus: Abbas Kubaff]
Kum baba, Kum baba
Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba
Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba
Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang
Kum kum baba, kum kum baba
Me huwa na-bite
Vile nakuja vibaya utadhani natema na gun
Me ndo unadai, vile nachenga
Hadi refa anakuja na ganji tumunch
Mpini na ndai napita polite
Bado nakula manduku bie
Mtichi kuchai akuje na bike
Buda mi hupita na Benz Benz
Mlinzi ako site, mbona unatense?
Me huwa nakunja hadi chuma inabend
Nataka bunde sitaki tudem
Nataka unipee alafu buda ni-learn
Nina kwela kwa bed nataka tushare
Mi si ka Diddy nitakuita kwa bed
Sitaki unipee nakuja kutake
Kama si daily unatema revenge
Boom bye bye, shot ah fly to the sky
Dem a come fi dis I, but me fi come fi destroy
Shot inna de head, fi di leaky leaky boy
Just a copper and lead fi dem likkle like a toy
Woi, tell em’ seh mazgabaz na mazgubaz
Zinafanya nifanye scene
Ndani ya mask waulize “Who dat!”
Buda! utabugda, ki-ruger, kikishuta
Press gas ni mafuta
Na matweeter zinachuna (a big tune!)
Kum baba, Kum baba
Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba
Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba
Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum kum baba, kum kum baba
Mboka best, liquor Best
Chica, bestie, I guess
Anika breast, pupa less
Jah Jah amekubless
Say it with your chest
Track Ares, kwa track na-race
Walitry kuniarrest, K.U hukuwa mess
Huwezi nihemesha, shimo hukuwa pesa
Tracy na Vanessa, KC bila chaser
Baby I don’t really wanna hurt you
Before unyonye kwanza fanya haathu!
Beef inafanya ninakaa stew
Narelease kwa hii beat kile napass through
Man a wizard, unaeza uliza uliza
Kutembea na baba yao kijana huwezi kula gizzard
Huskii Saudi wanawakunia
Ukifika huko shauri yao ni kulia
Kum baba, Kum baba
Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba
Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba
Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum kum baba, kum kum baba