Ares66 – Viral Lyrics (feat. Sewersydaa)
Check out “Viral” lyrics by Ares66 featuring Wakadinali artist Sewersydaa on Kelxfy.
Viral Lyrics
Izo madiaba,
Hebu come nikupeleke na stepu
Unaweka kichwa chini mikono juu
Dance style zote unawang’orea
Live TikTok viral tushawazoea
Tingisha zungusha tingisha izo madiaba
Tingisha zungusha tingisha izo madiaba
Tingisha zungusha tingisha izo madiaba
Ha! Tuko ndani ya baa
— na amebeba nyoi
Sina time ya kufight na hawa watoi
Rambo nyahunyo na rungu ya Mosh
DeadDiambo na finyo anatingisha noi
Uduu ikilia kunapigwa koto
Mongito ishapigwa soko
Vitu mi hufikiria nikiwa msoto
Pali niko kunawaka moto
We ni mtoto round hii itabidi uhepe home
Ukuje pande za East nikupitishe machuom
Umoroto hadi kwa streets tunachomanga kindom
Nakuwanga na ma arif, wanabebanga ma chrome
Hebu come nikupeleke na stepu
Unaweka kichwa chini mikono juu
Dance style zote unawang’orea
Live TikTok viral tushawazoea
Tingisha zungusha tingisha izo madiaba
Tingisha zungusha tingisha izo madiaba
Tingisha zungusha tingisha izo madiaba
Ha! Tuko ndani ya baa
Sijalipa fibre, sidai izo mafaba
Wife akiwaga, wifi hukalas
Haifai jo ukiwaka, unaanza kuharass
My guy where did you leave your manners
Ndo mali imedock kwa port iko na harbour
Too hot to handle, you can’t diss a baba
Najua magoshodo waliacha ukahaba
Na kuna wamama wanauza ipunya saa saba
Tingisha ni ka kuna place unakaa kuishia
Umeivisha unafaa upewe award this year
Siwezi whisper na shout juu chali yako anaskia
Yote tisa kumi, nina mathao mama mia
Hebu come nikupeleke na stepu
Unaweka kichwa chini mikono juu
Dance style zote unawang’orea
Live TikTok viral tushawazoea
Tingisha zungusha tingisha izo madiaba
Tingisha zungusha tingisha izo madiaba
Tingisha zungusha tingisha izo madiaba
Ha! Tuko ndani ya baa
Hebu come nikupeleke na stepu
Unaweka kichwa chini mikono juu
Dance style zote unawang’orea
Live TikTok viral tushawazoea
Tingisha zungusha tingisha izo madiaba
Tingisha zungusha tingisha izo madiaba
Tingisha zungusha tingisha izo madiaba
Ha! Tuko ndani ya baa
(Izo madiaba, izo madiaba)
Izo madiaba!
Ha! Tuko ndani ya baa