Kitu Sewer – The Office Lyrics
Check out “The Office” lyrics by Kitu Sewer on Kelxfy.
The Office Lyrics
Karibuni kwa the office
Tunadeal na shida zenu
Sio mabang’a, sio magw’angi
Sio mapoko, sio mapedi
Si mapinji si Ma-CEO
Si machokosh, si wauzaji wa maploti
It’s been a pleasure doing business with yah
Unaeza sema ni hospitali
Ju hii ni lab ya kila drugs
Siku ya bash bado walitulipia cabs tusichotwe
Hio ni insurance
Quality control wako on
Ka unataka kiraka kuna human resource
Ati ni bar na kwa mlango imeandikwa reherb
The house always wins
Pills na sindano
Basmatic babes nurse atakupea dose
Ya pill, cram number za till na paybill
Business with pleasure
Tumetoka show jo, kutanyesha
Office ni cold, maji ya mtaro
Kutoka — rive hadi bonemarrow
Malawyer, ma criminal majudge wamekam
Lawyer alikam na ngiri chwani ametoka na jill
Alikuwa anatetea ule suspect wa appeal
Yule msee alikata wasee na machete wakatoka teke
Still another day in the office lazima tulipe bills
Karibuni kwa the office
Tunadeal na shida zenu
Sio mabang’a, sio magw’angi
Sio mapoko, sio mapedi
Si mapinji si Ma-CEO
Si machokosh, si wauzaji wa maploti
It’s been a pleasure doing business with yah
Dranches kibao hadi si watalanjez
Ma DDO–job hawaendagi retire wasee wanadish tension
Drug disorderly ni ka suspension
Holiday zao huduu overtime na retweets za team-work
Wedding ku-turn water into wine
Biashara ya maingwa si ni goldmine
Bora tu ushalipa OCS na masanse
On official duty, secretary ana key za lock
Donga ananicheki ka crazy cock
Si hureport 8O’clock in the morning
Hatuneed kuvaa suti
Hii ni hosi, si ni madoki, hawa ni mazombie
Tumekuja ku-inspect stock
Tunawachomea mkidhani ni jokes
Mnadeal na ma G.I.Joe