Nyashinski – Fresh Lyrics

Check out “Fresh” lyrics by Nyashinski on Kelxfy. “Fresh” is off Nyashinski’s new album titled Yariasu.
Fresh Lyrics
Niko ready kuona million dollars
Namedi kando yangu unaona geri iko wax
Already naona number iko na many commas
Mwenyezi naomba legacy haiwezi collapse
Maybe nakushow usikuwe stuck in the
Daily mnanikumbushanga siezi watrust
Deni inanikumbushanga siezi relax
Mshaskia marumor saa skieni mafacts
The more unajituma more digits
Saa ya bill uwezi nikuta na fidget
Unalipia kila minute
Hizo vitu wanarap unajua Shin done did it
Real life apa hakuna rehearsal
Hatuifanyi twice so nishow bidiiyako
Act kaa Director ashasema, “Action!”
Na Akisema, “Cut!” Game over
Ata off day mi hukuwa fresh
Fresh! Fresh
Naachia offspring future set
Set? Set
On a bad day mi hukuwa threat
Threat?
After success nini hukam next?
Next!
Na naleave these fools perplexed
Niko out here cashing checks
Uh Sustained Success
After success nini hukam next?
Next? Uh!
Naachia offspring future set
Si ati vibes mi tu naset!
After success nini hukam next?
Niko na mpenzi wangu mahali far
Mahalihatuwezi fikiwa na makelele
Rada saa kuona kaa akili zao
Zinamatch mdomo na kiherehere
Kitu unadai niko nayo naunajua Mr Right, Mr Now
Mistaki vigelegele
Unasema hutaki mini nyoe dredi
Ata wafuge nati kuniclone haiwezi
Narap ni kaa nina njaa 21,31,40 young
God willing nijionee mengi
Nabaki safe ata table zikiturn
Gode zangu zinaburn
Payday after payday
Ata off day mi hukuwa fresh
Fresh! Fresh
Naachia offspring future set
Set? Set
On a bad day mi hukuwa threat
Threat?
After success nini hukam next?
Next!
Na naleave these fools perplexed
Niko out here cashing checks
Uh Sustained Success
After success nini hukam next?
Next? Uh!
Naachia offspring future set
Si ati vibes mi tu naset?
After success nini hukam next?