Kitu Sewer – Intro Lyrics
Check out “Intro” lyrics by Kitu Sewer on Kelxfy. “Intro” is the introduction song to the album “Makali Man“.
Intro Lyrics
Six sips za Whiskey
Nawasha kwa tipsy
Mazombie six ngware wanahitaji maombi
Risking kuchotwa wakiwa high on illicit
Kwa distribution kwa district
Raia wameandamana ka insects
Ticks na leeches
Bitches pia wanataka haki yao
Maumbwa koko lips pink ka plums
Na macho nyanya kwenye rehab wamevisit
What is this
Wamerelapse withdrawal symtoms
Na marapper hawana makali pia na system
Wamefall victim, ni mapast tense
Tei related ju alcohol ndo the easym
Macompany zimeconspire ku make doh na we
Ju ya poverty, ina make sense, ma brand worth
Court case, still changáa dens
Ndo hukanja sanse ka 150
Drunk and disorderly tukiwatch ile game ya Arsenal
Tukiweka liver kwa pool
Na methanol and all
Yeah ni business, get the bigger picture
So sip this, nikibonga kama the first hand witness