Bien ft Scar Mkadinali – Lifestyle Lyrics

Read “Lifestyle” lyrics by Bien featuring Scar Mkadinali on Kelxfy.
Lifestyle Lyrics
Kipara bila pesa kidonda
Cheki dem yako anakutoka
Wananiitanga Maradona
Ju mi huwakata nikisonga
Usipandishe mrembo bodaboda
Hio ndo siku ya mwisho utamuona
Usiniulize ka niligonga
Niulize vile niliona
Aii aki ya mama nasare dry fry
Ya kupigana bila mundai
Vidole mbili weka peace sign
Hizo zingine weka inside
You know I pull up like a G
Shore ameweza she is a freak
Hakunanga kitu ya free
Nagusa nione ka ni real
Lifestyle
You know they love me for the, lifestyle
Niite illuminati kumbe, lifestyle
We unasema ni bangi kumbe, lifestyle
Top G mi ndio big propeller, lifestyle
Haga biggy imejaa kwa dera, lifestyle
Na inaclap, na inaclap, na inaclap (Lifestyle)
Na inaclap, na inaclap, na inaclap (Lifestyle)
Maisha fiti na marafiki tunaungua
Na si cheating kama wifey anajua
Mziki hailipi basi vipi nina ganji
Mshikaji keti uone vile kwa mic nachafua
Kikulacho ndo hio japo imakusumbua
Tunajua ni bidii yako ukimuanika tunaanua
Bidii jasho ndo hio dinga utanunua
Otherwise piga na ikikuuma unaeza zua
Twende lifestyle kuna wenye inawawasha
Last time tulikataa kuperform Naivasha
Ndani ya 110 ninawapita ka za Nascar
Nilikuwanga wanted lakini sai wananitaka
Huh, si ni funny huh
Vile hitsong imefanya msupa atake nizalia
Swali kubwa mi najiuliza mi ni chali ya?
Siwezi sema ju ni hali ya (Lifestyle)
Na sipendi mapicha (Lifestyle)
Ngwai bila filter (Lifestyle)
Power man inaficha (Lifestyle)
Bien huwanga mziza (Lifestyle)
Kila label kila teaser (Lifestyle)
Na sipendi mapicha (Lifestyle)
Maandamano, maandamano
Wamepandisha bei ya avacado
Cheki ka imeiva finya ka piano
Promoter hapana leta zogo kabla show nilipe full price
Hapa duniani niko na one life
Mzinga lazima kwanza baptise
Kwa nyong’inyo niko na half life
You know I pull up like a G
Shore ameweza she is a freak
Hakunanga kitu ya free
Nagusa nione ka ni real
Lifestyle
You know they love me for the, lifestyle
Niite illuminati kumbe, lifestyle
We unasema ni bangi kumbe, lifestyle
Top G mi ndio big propeller, lifestyle
Haga biggy imejaa kwa dera, lifestyle
Na inaclap, na inaclap, na inaclap (Lifestyle)
Na inaclap, na inaclap, na inaclap (Lifestyle)
Correction
Msupa wa mine ninamficha*
Bien huanga mziza*
Tunajua ni bibi yako, ukimuanika tunamuanua*
Otherwise piga kalessa na ikikuuma unaweza zua*
Thanks updated