Fena Gitu – Mali Safi Lyrics

Check out “Mali Safi” lyrics by Fena Gitu on Kelxfy. “Mali Safi” is a sheng word that means a nice thing.
Mali Safi Lyrics
I have never been the kind of girl
To make the first move mi ni mshy
(Mi ni mshy)
Picha zako mi husend kwa group
Mmmh, mi hudai
Cause you’re just my type
Though I try not to show
But my betfriends know how
When I see you it’s over
I loose my composure
Chini ya waba mi nimekunoki
Mi huwaga nimekunoti
Ndani ya mbogi
Mali safi kutoka Nairobi
Mimi huwanga lowkey
Lini utani-notice
Katikati ya mbogi
Mali safi toka Nairobi
Umewahi kuwahi (Umewahi kuwahi)
Mali safi toka Nai (Mali safi toka Nai)
Ju mi nimeiwahi
Mali safi toka Nai (Mali safi toka)
Walai walai (walai walai)
Nimewahi kuwahi (Nimewahi kuwahi)
Mali safi toka Nai (Mali safi toka Nai)
Na nishafi-
Najua wamepiga kambi kwenye DM
Mungu nisaidie
I’m in to you but you’re oblivious
Liquid courage ndo napiga vicopia
Hadi inachoma
I hope I get another chance kukuona
Tukimake up in the dark kwa kona
I’m a goner, na sijali ni nani
Jali nani anatuona (Ah ah wadaku watakoma eh)
Chini ya waba mi nimekunoki
Mi huwaga nimekunoti
Ndani ya mbogi
Mali safi kutoka Nairobi
Mimi huwanga lowkey
Lini utani-notice
Katikati ya mbogi
Mali safi toka Nairobi
Umewahi kuwahi (Umewahi kuwahi)
Mali safi toka Nai (Mali safi toka Nai)
Ju mi nimeiwahi
Mali safi toka Nai (Mali safi toka)
Ni mali safi safi
Ulikuwa umefichwa wapi wapi
Bale ya asubuhi yako hawawezi copy
Yako original, stoko camera copy
Stoko Luois Vuiton
Guess you’re the one
We just having fun
And the few lucky one’s
Who found love in the big bad city
Umewahi kuwahi (Umewahi kuwahi)
Mali safi toka Nai (Mali safi toka Nai)
Ju mi nimeiwahi
Mali safi toka Nai (Mali safi toka)
Walai walai (walai walai)
Nimewahi kuwahi (Nimewahi kuwahi)
Mali safi toka Nai (Mali safi toka Nai)
Mali safi toka Nairobi
Mapenzi Kanairo (Umewahi kuwahi)
Mapenzi Kanairo (Mali safi toka Nai)
Mapenzi Kanairo, mali safi toka..
Nairobi