Kitu Sewer – Outro Lyrics

Check out “Outro” lyrics by Kitu Sewer on Kelxfy. “Outro” is off Kitu Sewer new album “Makali Man“.
Outro Lyrics
Maraugushion kweli hujishow
Wivu tamaa chuki hupeep kwa windows
Nongwe ingine inaitwa uvivu
Huwanga always kwa pillows
Alongside blanketi na uzembe
Maringo ni mzito ako kwa carpet juu ye mzigo
Angevunja bed unless tumuachie hapo
Na pet anaitwa kesho
Ju kila kitu huwanga the same
Ni procrastination
Adui yako ndo best friend yako
Anaitwa ku save
Imagine wasee umewa-pave ia way
Alafu wakuache kwa pavement
Ku-face ukweli ni ka sick off
Wanadai kitu Sewer we Paulo kuwa mlethal
Patikana red na mi myself and I, wanadai siko
Opportunity ameknock door
Hauskii wanadai aje, ati mi siko
Yaani haukuona missed calls
Yaani mi siko, kweli mi siko
Siendagi kwa church
Ju niko na faith
Yeah ile hutuuzia matei
Tukisearch sober
Badala ya kusearch dollars, wafike bei
Wana-catch feelings
Ukiwazubaia silly
Wanakushow kwani we ni landi
Kwani bila we sili?
Akili control
Mwili tuna-searchia dish
Kladi na sili mjini
Wenye walikuwa na mamita
Pia ziliwadelete
Huwezi kill it, kill it
Unaona giza ama bright
Nyeusi ama white
Mapema ama late
Mabeste ama ni hate
We mwenyewe ndo ulisay it
Coz it is all in your mind
Unaona giza ama bright
Nyeusi ama white
Mapema ama late
Mabeste ama ni hate
We mwenyewe ndo ulisay it
Coz it is all in your mind
Wasee, wanatry kujirusha kutoka seventh floor
Buildings still living
We uko na izo zote na una complain nini
Really ka vile Mwafrika hucling kwa power
Na ujinga za ki ex
Niliclick nikiacha kuhit duniacha itaacha kuspin
Marapper wataacha kuspit
Ukibeef na mimi itaboost yako self esteem
Ukiwa ndogo watadai tulisha-iforce hii
Tuliwashow tuliwaonea 18, hata angusha team
Ukijaribu wanakushow haujajicommit
Karibu ni-suicide wakinishangilia
Nikitry nisitoke kwa beat
Na — ka doh ya Zibambwe
Sterling na Pound nitajipin ka Emirates
Staki umaskini, — for dollars
Sturbing, Starzin beshte yangu ana next of kin
Three wishes bila ata ka Gin
Hakuna fame imagine Fast and Furious bila Vin
Unaona giza ama bright
Nyeusi ama white
Mapema ama late
Mabeste ama ni hate
We mwenyewe ndo ulisay it
Coz it is all in your mind
Unaona giza ama bright
Nyeusi ama white
Mapema ama late
Mabeste ama ni hate
We mwenyewe ndo ulisay it
Coz it is all in your mind