Iyanii ft. Dufla Diligon – Donjo Maber Lyrics
Check out the “Donjo Maber” lyrics by Iyanii featuring Dufla Diligon on Kelxfy. “Donjo Maber” is a feel-good song; “Donjo” is a Sheng word that means all is good, while “maber” means okay. The song went extremely viral in 2025.
Donjo Maber Lyrics
Kwa majina ni Iyanii
(Tunakujua)
We waka waka (Waka)
Huh
Ikibamba sana
Basi pull it up
Selekta cheza doba
Once from the top
Whoa oh oh
Donjo maber
Donjo
Donjo maber
Donjo maber
Chunisha speaker
We mash it up
Fire we light it up
Whoa oh oh
Donjo maber
Donjo
Donjo maber
Donjo maber
Tuko tao
CBD
Kwa penthouse
Wanadhani
Si bidii
Ni guess work
Lakini juu ya bidii
Tunazoza
Na ni ma-Grammy
Tu ndo tunangoja
Donjo maber
Kwa mdomo
Nikuber
Na doba joh
Ni mwaki
Ukipenda imeliel
Napendwa na mapeng
Na wote joh ni ten
Nikikusalimia
Unanijibu tu
Maber
Napenda
Napenda vile magyala
Wamekuja
Wamebeba
Napenda
Napenda vile mamanzi
Wamekuja
Wameiva
Aaaah
Ikibamba sana
Basi pull it up
Selekta cheza doba
Once from the top
Whoa oh oh
Donjo maber
Donjo
Donjo maber
Donjo maber
Chunisha speaker
We mash it up
(Dufla)
Fire we light it up
Ooooh
Donjo maber
Donjo
(Aha)
Donjo maber
Donjo maber
[Dufla]
Makwela na machargie
Wanazitoka
Starehe ubamba sana
Baada ya mboka
Masansee watiaji
Tunawatoka
Salamu uwanga moja
Na ni Top Shotta
But originally
Dufla huwanga mkali
Ninasumbua town
Mpaka mashinani
Collabo na Iyanii
Anthem mtaani
Wakiuliza
Waambie
Tuko CBD ndani
Napenda
Napenda vile madem
Wamekuja
Wamebeba
Napenda
Napenda vile makwela
Wamekuja
Wameiva
Aaaah
Ikibamba sana
Basi pull it up
Selekta cheza doba
Once from the top
Whoa oh oh
Donjo maber
Donjo
Donjo maber
Donjo maber
Chunisha speaker
We mash it up
Fire we light it up
Whoa oh oh
Donjo maber
Donjo
Donjo maber
Donjo maber
Donjo maber
Donjo
Donjo maber
Donjo maber
